DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Huna akiliUnajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana sababu yoyote nzito ya kisheria kwenda CAS inayoweza kuwapa ujasiri wa kwenda huko.
Tatu, Yanga inastahili kuhukumiwa na Bodi ya Ligi pamoja na TFF kwa kuharibu taratibu za mchezo wa derby ya 08/03/2025, kulikopelekea mechi hiyo kutofanyika.
Nne, Yanga inatakiwa kuwalipa fidia wahanga wote wa kuahirishwa kwa mechi hiyo ya derby.
Tano, Yanga ipewe onyo kali la kuheshimu sheria, kanuni na miongozo yote ya mpira wa miguu kwa mujibu wa TFF, Bodi ya Ligi, CAF na FIFA.
Ikitokea Yanga imefungua kesi CAS kutokana na sakata hili, nawapa mamlaka yote mods wa JF kunilima ban ya miaka 2 bila uwezekano wa msamaha.
Ona hili mbumbumbuUnajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana sababu yoyote nzito ya kisheria kwenda CAS inayoweza kuwapa ujasiri wa kwenda huko.
Tatu, Yanga inastahili kuhukumiwa na Bodi ya Ligi pamoja na TFF kwa kuharibu taratibu za mchezo wa derby ya 08/03/2025, kulikopelekea mechi hiyo kutofanyika.
Nne, Yanga inatakiwa kuwalipa fidia wahanga wote wa kuahirishwa kwa mechi hiyo ya derby.
Tano, Yanga ipewe onyo kali la kuheshimu sheria, kanuni na miongozo yote ya mpira wa miguu kwa mujibu wa TFF, Bodi ya Ligi, CAF na FIFA.
Ikitokea Yanga imefungua kesi CAS kutokana na sakata hili, nawapa mamlaka yote mods wa JF kunilima ban ya miaka 2 bila uwezekano wa msamaha.
Ni kweli ametumwa, wanataka uhakika wa tetesi za Yanga kuwa wameshawasilisha malalamiko yao CAS.Wewe ni Karia au umetumwa na yeye kuja humu kupima upepo. Yanga hawana muda wa kupiga kelele bali wataonyesha kwa vitendo.
Ungesema ikishinda ili siyo kwenda kwa sababu kwenda wanaweza kwenda ila hawawezi kushinda.
Yaani pesa ya kulia bata Dubai, Hersi akaitupe shimoni huko CAS ili kuwafurahisha wala mihogo?Wewe ni Karia au umetumwa na yeye kuja humu kupima upepo. Yanga hawana muda wa kupiga kelele bali wataonyesha kwa vitvitendo.
[emoji706][emoji706][emoji706]Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana sababu yoyote nzito ya kisheria kwenda CAS inayoweza kuwapa ujasiri wa kwenda huko.
Tatu, Yanga inastahili kuhukumiwa na Bodi ya Ligi pamoja na TFF kwa kuharibu taratibu za mchezo wa derby ya 08/03/2025, kulikopelekea mechi hiyo kutofanyika.
Soma Pia: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Nne, Yanga inatakiwa kuwalipa fidia wahanga wote wa kuahirishwa kwa mechi hiyo ya derby.
Tano, Yanga ipewe onyo kali la kuheshimu sheria, kanuni na miongozo yote ya mpira wa miguu kwa mujibu wa TFF, Bodi ya Ligi, CAF na FIFA.
Ikitokea Yanga imefungua kesi CAS kutokana na sakata hili, nawapa mamlaka yote mods wa JF kunilima ban ya miaka 2 bila uwezekano wa msamaha.
Tokea lini kufungua kesi CAS limekuwa ni jambo la siri? Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Ni kweli ametumwa, wanataka uhakika wa tetesi za Yanga kuwa wameshawasilisha malalamiko yao CAS.
Mimi nae nimeishakuwa mula mihogo. Kitu gani kimekufanya kudraw hiyo conclusion.Yaani pesa ya kulia bata Dubai, Hersi akaitupe shimoni huko CAS ili kuwafurahisha nyie wala mihogo?
Mimi siyo mtu kwa kwanza kuomba ban. Kama haujui, ni sehemu ya burudani humu jukwaani.Wewe jamaa unapenda sana kujipa u special wa kipekee! Sasa hata ikitokea ukapigwa hiyo BAN, hivi kuna athari gani itakayo jitokeza humu jukwaani!!!
Niligundua wewe siyo mla mihogo ila nimeshindwa kuedit post yangu.Mimi nae nimeishakuwa mula mihogo. Kitu gani kimekufanya kudraw hiyo conclusion.
🦁🦁🦁Niligundua wewe siyo mla mihogo ila nimeshindwa kuedit post yangu.
Wewe pamoja na hao wenzako kama vipi muachane basi na hizi mambo zenu hata kama ni sehemu ya burudani! Yaani huwa mnajipa u special wa kipekee sana, na ambao kimsingi haupo.Mimi siyo mtu kwa kwanza kuomba ban. Kama haujui, ni sehemu ya burudani humu jukwaani.
🤣🤣🤣🤣Yaani pesa ya kulia bata Dubai, Hersi akaitupe shimoni huko CAS ili kuwafurahisha nyie wala mihogo?
Usiingilie uhuru wangu tafadhali maana mimi sijawahi kuingilia uhuru wako.Wewe pamoja na hao wenzako kama vipi muachane basi na hizi mambo zenu hata kama ni sehemu ya burudani! Yaani huwa mnajipa u special wa kipekee sana, na ambao kimsingi haupo.
Ila mimi nimehoji tu u special wako humu jukwaani, in case umepigwa hiyo ban ya miaka miwili, ni athari gani zitajitokeza! So kama inahusiana na kuingilia uhuru wako; ok!!Usiingilie uhuru wangu tafadhali maana mimi sijawahi kuingilia uhuru wako.