Mnataka kujua mapema Yanga wamepeleka malalamiko gani kabla ya muda wenu wa kujua haujafika.
Mnajaribu kuwapekenyua Uto humu kwa nyuzi za kila baada ya dakika kadhaa ili wafunguke.
Bodi na Kolo acheni vihere here na vihumwe humwe muda ukifika mtapewa taarifa.