nije tuzunguke wote tuunganishe na zile zetu ziwe 2-1?Kwakuwa nilikuunga mkono hoja yako mkuu, hapa niko utupu wa binadamu nazunguka tu room.
Hao waliowekeana dau la nke kwa nke sjui inakuwaje.alafu hao wake zao wameridhia kabisa na saini wakaweka.daah
Mnyamaaa Mnyamaaaaa
Vipi ulitimiza ahadi yako??Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
tatizo ndugu zetu maneno mengiMpira umekwisha..tena tukiwa pungufu yanga kakaaaa...ushavua?
[emoji23] [emoji23]Hao waliowekeana dau la nke kwa nke sjui inakuwaje.alafu hao wake zao wameridhia kabisa na saini wakaweka.daah
Mkuu vipi? Hujabakwa kweli?Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mshindi lazma apatikaneKesho ngoma doroooo
blame no body