Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

c70c1a3fcaf6aeea88d8f155d9fc2dad.jpg
mbona huvui sasa
huyu kama sio Bantu lady basi ni Nifah
 
Huo uchi unautembezea wapi mkuu.....AHADI NI DENI
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Vipi ulitimiza ahadi yako??
 
Ahadi ni deni, tekeleza ulichoahidi. Wakati mwingine muwe waangalifu.
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mkuu vipi? Hujabakwa kweli?
 
Utembee bila nguo ili iweje?
 
Back
Top Bottom