Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Vp umetembea au umezimia?
 
Ujue kutunza ahadi ni jambo la heshima sana kwa mwanaume wa ukweli. Niko barabarani nakusubiri upite mkuu maana muda mrefu sijaona mwanaume akitembea uchi aisee
 
Vip ushatembea mkuu
 
Boss rudi kwa maelezo yako
 
I hope ushautembeza uch wako. Tupe update upo wap now?
 
mkuu njoo huku wenzio tunasubiri movie ya X bana.
 
Nnakumbuka maneno aliyosema Julio alipokuwa anaojiwa na kituo kimoja cha habari ilikuwa ni kipindi cha michezo nnanukuu "Yanga ni kama gari ya maiti ya kwanza kwenda makaburini na ya mwisho kutoka makaburini"
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Dah! I wish ningekufahamu...
 
Kwakuwa nilikuunga mkono hoja yako mkuu, hapa niko utupu wa binadamu nazunguka tu room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…