Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Fortaleza njoo utuonyeshe utupu wako maana uliahidi mbele ya JF hapa.
 
Hv ID yake bado iko active? Naona kama deactivated hehehehe
 
Jamaa lengo lake limetimia leo atakunywa, kisha atavua nguo aanguke kifudifudi. Kesho akiamka anahara
 
Hahahha vp umetembea uchi wa mnyama au ?
 

VIPI MKUU UMETEMBEA UCHI!!!

AU ZILIKUWA POMBE KICHWANI

AU NI AKILI ZA USIKU

AU ULIKUWA UNA......
 
Wow! Leo Jijini Dar Tumeshuhudia Makalio Mazuri Ya Mwanayeboyebo FC..
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Woyoooooooo mpe mpe mupeeeeeeeeeee[emoji13]
 
Utatembea bila nguo zote au baadhi ya nguo? Na utafanya hivyo ukiwa na akili timamu au utakuwa umepungukiwa akili kwa kufungwa???Mtani ondoa azma hiyo,vijana wanateleza kama kambale!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kwa akili hizi hatukawii kusikia niagieni
 
Labda huna nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…