Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!
Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Mkuu, ktk hatua za mtoano unapangiwa timu kulingana na rank yako ilivyo kwenye ubora Africa
Ni ngumu na haiwezekani timu zilizo top 20 ktk Caf club rank zikakutana zenyewe kwa zenyewe ktk hatua ya mtoano
Huwezi kukuta Tp Mazembe vs Wydad, Ahly vs Simba au Zamalek vs Horoya, BADALA yake zile zilizo top 20 hupangiwa timu zilizo nje ya top 20.
Simba vs De Agosto,,, Agosto yupo nafasi ya 28 ktk club rank, Simba yupo 14
Simba ktk safari yetu msimu wa 2018/19 tulikutana na Nkana ambae Nkana alikuwa ktk nafasi ya 16 ktk club rank ilhali Simba ilikuwa ya 65,,,tulipowatoa na kufuzu group stage mpaka robo fainali tulikusanya points nyng zikatusogeza ktk rank za juu juu na kadri miaka ilivyozidi kusonga na performance yetu kuwa nzuri ndipo tumefika hapa tulipo
Hvyo watani zetu muelewe tu suala sio umepangiwa nani, kwasbb hata Biashara Utd alikutana na Ahly Tripoli ya Libya ( Ahly ipo nafasi ya 27 ktk club rank) na Biashara waliibanjua goli mbili kwa uchi wale waarabu,,, ishu hapa ni maandalizi kuelekea hii michuano
Yanga mlishapangiwa Rivers Utd, Township rollers zote hizi zipo nafasi mbovu ktk club rank na ziliwatoa ktk michuano hii ya CAF
Wakati wa International break, Simba alienda Sudán kucheza na Hilal, Kotoko ya Ghana, pía Hilal akaenda Congo kucheza na As Vita na Don Bosco( Tp Mazembe kikosi B), Mazembe akaenda Zambia kukutana na Nkana/ Zesco na Azam
Kipindi chote Yanga mmejifungia Kigamboni kucheza na kina Transit Camp, Friends Rangers ya Manzese, Vijibweni Fc, Mbuni nk vitimu vya hovyo hovyo
Hvyo Yanga msilalamike bali mnavuna mlichokipanda na hapa LAWAMA ABEBE INJINIA HERSI NA UONGOZI WAKE