Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi

Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi

Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Zamaleki ya misri alikutana na Simba, na Simba akakaimu ubingwa wa Afrika baada ya kumtoa Zamaleki kule Misri. Tangu wakati huo Simba hapewi timu hizo ili kutoharibu ladha ya soka la Afrika Kwasababu, Simba siyo timu ya majaribio bali ni timu iliyojipanga kwa ajili ya mashindano.
NB
Hata, Yanga huwa anakutana na timu za kiwango cha chini sana
Mfano: Rivers united, Rollers, Zalan, nk.
Uwezo mdogo wa yanga katika soka ndio unaokupelekea wewe kudhani kuwa Simba anapendelewa.
 
kusema ukweli kutakuweka huru! washabiki watakaojaza vibanda umiza mechi ya Yanga ni makolo!
Yes, unafikiri ni kwa nn?
(Chagua jibu sahihi)
A. Kwa sababu wa Yanga watakuwa washajikatia tamaa hata kuiangalia timu yao
B. Kwa sababu wa simba watakuwa na shauku zaidi ya kuona jinsi Yanga itakavyotesa au kuteswa
C. Majibu yote A na B hapo juu ni sahihi
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Hizo ni team kubwa haziwez kutana mapema kadri .michuano inavyozidi kwenda ndo zinakutana
 
Yaaani wa Simba maji tutayaita MMA , wanasimba tuombe isiwe hivyo kabisa

MIMI NAOMBA WAKAKANDWE 4 MTUNGI HUKO SUDAN
Ila Mungu anakazi sana huko aliko maana wanayanga wanaomba hv,wasudan wanomba. Vile na wew unawaombea wakandwe 4
 
Ipo siku ukweli utajulikana.
Acha kua na ufinyu wa akili......
River united nayo n timu ya kuwafinga nje ndan..?
Al Hilal yenyew ya kawaid ila uwez wenu mdog manatak like Simba anafanya na nyie mfanye
Bongo karibun washakuja Berkane, Asec Memosa na wengne unaowajua na walifungwa sas utpolo de Tz sijui mnataka mpangwe na nan ili mshinde
 
Sasa kama hadi dakika 90 ubao utasoma bila bila huoni Yanga atakuwa ametolewa kwa faida ya goli la ugenini walilopata wasudan pale kwa Mkapa?
Kweli akosae hakosi kutapa tapa ebu mpe maji apunguze stress
 
Kwahiyo itakuwa TFF ya Karia wanaipangia vibonde ili itese huko kimataifa na kuipangia timu yetu ya Wananchi wapinzani wagumu ili tusifike hata hatua ya Makundi
Karia na genge lake hili walilianza toka mwaka 1998 ambao ndio mwaka wetu wa mwisho sisi wananchi kufika hatua ya Makundi Klabu Bingwa
Ila haya yana mwisho[emoji22][emoji22]
Kumbe hili swala la kutofika makundi linawaliza
 
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila.

Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha Ubwege na Uwongo Mechi ya Yanga SC na Al Hilal FC mkondo wa pili inachezwa Siku ya Jumapili tarehe 16 Oktoba kati ya Saa 12 Kamili Jioni au Saa 2 Kamili Usiku.

Hivi inawezekana kweli Yanga SC inayoondoka kwenda huko nchini Sudan Siku ya Jumamosi icheze tena Siku hiyo hiyo?

Muwe mnajiridhisha Kwanza na Taarifa kabla ya Kukurupuka kuja kutuonyesha Madhaifu yenu ya Kiakili.
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!

Mkuu, ktk hatua za mtoano unapangiwa timu kulingana na rank yako ilivyo kwenye ubora Africa
Ni ngumu na haiwezekani timu zilizo top 20 ktk Caf club rank zikakutana zenyewe kwa zenyewe ktk hatua ya mtoano

Huwezi kukuta Tp Mazembe vs Wydad, Ahly vs Simba au Zamalek vs Horoya, BADALA yake zile zilizo top 20 hupangiwa timu zilizo nje ya top 20.

Simba vs De Agosto,,, Agosto yupo nafasi ya 28 ktk club rank, Simba yupo 14

Simba ktk safari yetu msimu wa 2018/19 tulikutana na Nkana ambae Nkana alikuwa ktk nafasi ya 16 ktk club rank ilhali Simba ilikuwa ya 65,,,tulipowatoa na kufuzu group stage mpaka robo fainali tulikusanya points nyng zikatusogeza ktk rank za juu juu na kadri miaka ilivyozidi kusonga na performance yetu kuwa nzuri ndipo tumefika hapa tulipo

Hvyo watani zetu muelewe tu suala sio umepangiwa nani, kwasbb hata Biashara Utd alikutana na Ahly Tripoli ya Libya ( Ahly ipo nafasi ya 27 ktk club rank) na Biashara waliibanjua goli mbili kwa uchi wale waarabu,,, ishu hapa ni maandalizi kuelekea hii michuano
Yanga mlishapangiwa Rivers Utd, Township rollers zote hizi zipo nafasi mbovu ktk club rank na ziliwatoa ktk michuano hii ya CAF

Wakati wa International break, Simba alienda Sudán kucheza na Hilal, Kotoko ya Ghana, pía Hilal akaenda Congo kucheza na As Vita na Don Bosco( Tp Mazembe kikosi B), Mazembe akaenda Zambia kukutana na Nkana/ Zesco na Azam
Kipindi chote Yanga mmejifungia Kigamboni kucheza na kina Transit Camp, Friends Rangers ya Manzese, Vijibweni Fc, Mbuni nk vitimu vya hovyo hovyo

Hvyo Yanga msilalamike bali mnavuna mlichokipanda na hapa LAWAMA ABEBE INJINIA HERSI NA UONGOZI WAKE
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Mkuu simba ipo kundi moja na hao uliwataja so hawawezi kukutana hatua za mwanzo, yanga ipo kundi la vibonde ndiomaana anapangiwa timu zilizo kundi moja na simba yanga akianza kuingia makundi atahamia upande wa kina al ahly ili awe anapangiwa vibonde
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Duhhh mkuu inaonekana hujui chochote kuhusu mashindano ya CAF Champions League na CAF confederation cup, tumia muda wako kujifunza na sio kuendeshwa na Hisia

Kuna sababu ambazo zinafanya haiwezekani Simba kupangiwa Mazembe/Al Ahly/Kaizer chief/Raja/Mamelod katika hatua ya awali

Hawakutani hatua za awali Kwa sababu yanapangwa Kwanza makundi (POT)kulingana na rankings ambayo yanakuwa na team 4 kila pot

Kwahiyo wale Giants wanapewa wadhaifu kuliko wao Kwa sababu wao wanakuwa katika pots moja ya Ranking, ni kama vile Yanga alivopewa Zalan Kwa sababu Yanga ni Giant compared to Zalan

Simba ili akutane na hao uliowataja ni either kwenye Group stage au kuanzia Robo fainali, mkianza kufika mbali kwenye haya mashindano ndio mtajua Sheria zipi zinatumika

Kwa sababu kwenye makundi kunakuwa na team 4 ambazo CAF wameziweka kimadaraja kulingana na Ranking zao, kutakuwa na
Giant mmoja,Mid-Giant mmoja,Saizi ya Kati mmoja na Chei chei 1

Kwahiyo Kabla ya kuanza kujipa pressure za bure muwe mnafatilia vigezo ambavyo vinatumika katika upangaji wa Team katika kila level, au msubiri mpite kwenda group stage na mtaelewa kwanini mmepangwa na Nani

Katika haya mashindano kadri unavojitutumua kupanda ranking ndio kadri unavojipalilia mazingira rahisi ya hatua za awali kwenye mashindano

Urahisi unaopata ni kama vile kupangiwa team za kawaida katika hatua za awali,kuanzia ugenini katika knockout stages and so on

Kwahiyo ata nyie mtakuja tu kupata favour huko kadri siku zinavoenda ni kupambana tu ili muendelee kupanda kwenye CAF rankings

Simba haina level ya kupendelewa na CAF, hizo level ni za kina Al Ahly,Zamalek,Raja, Mamelod,Tunis,Mazembe Kwa sasa Simba anapata anachostahili kulingana na msuli wake unapoishia
 
Back
Top Bottom