Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5

Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
 
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
umelijuaje Hilo?
 
Tumefurahi hamjafuzu
Rufaa yenu ya kulalamika kuwa mc Algiers walipoteza muda kwa kuanguka hovyo Bado inasikilizwa. Ni hakika mtapata pointi 3 ili mfuzu
Hujafurahishwa na timu lako kushiriki mashindano ya rede huko shirikisho yaani mashindano ya akina
 
Usiseme mabingwa kama mwaka huu upo unashiriki mashindano ya akina mama
Unayakataa mashindano ya CAF Shirikisho yenye zawadi ya bilioni 5 kwa bingwa (na yenye faida zingine nyingi ikiwemo kupanda rank za CAF na kushiriki Super Cup), unaenda kutamba kuwafunga wasukuma kwenye TFF Shirikisho lenye zawadi ya milioni 20 kwa bingwa. Kweli Rage aliona mbali kuwaita mbumbumbu!
 
Sasa nyie mpo robo ya shirikisho yaani mashindano ya akina Bado mna aibu
 
Bro Sifa ya Mwanaume kamili ni msimamo,hii takataka yako unaikumbuka,Leo mmeshinda 5 umesahau.
Nakuuliza tena Side ni kocha bora Au sio Bora?
 

Attachments

  • IMG_6140.png
    206 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…