Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

Sasa mtakutana na mshindi kati ya Mamelod Sundown au Esperence baada ya ushindi wa leo kwenye hatua ya robo, hongereni sana nadhani kwa mechi ya leo Kocha kaona intensity ipo
 
Bro Sifa ya Mwanaume kamili ni msimamo,hii takataka yako unaikumbuka,Leo mmeshinda 5 umesahau.
Nakuuliza tena Side ni kocha bora Au sio Bora?
Ulivo mbumbumbu hukuelewa kuwa ule nilisema kuwapoteza nyie mbumbumbu kama alivosema Kaduguda na Rage
 
Sasa nyie mpo robo ya shirikisho yaani mashindano ya akina Bado mna aibu
Sawa Simba ipo robo fainali ya CAF Shirikisho. Wewe unatamba kumfunga mtu goli 5 kwenye TFF Shirikisho. Kweli Rage aliona mbali kuwaita mbumbumbu.
 
Ulivo mbumbumbu hukuelewa kuwa ule nilisema kuwapoteza nyie mbumbumbu kama alivosema Kaduguda na Rage
Unampoteza nani wewe mshamba,Yaan wewe uje uwapoteze watu na kiandiko chako cha kipuuzi kama hiko.

Huna tofauti na Lucas mwashambwa mzee.

Jifunze kuwa credible kwa maandishi yako.
 
Kwani haya mashindano yashawahi kujadiliwa kuwa yafutwe kama Yale ya CAFCC
Inaonyesha iliwauma sana mnashiriki mashindano mnafika fainali hapo hapo CAF wanaona huu usng wanataka kufuta mashindano. Hii inauma saaana.

Misimu miwili mbele, Simba inarudisha hadhi ya mashindano na CAF kwa kutambua ukubwa wa Simba hadi zawadi za washindi zinaongezwa.
 
Huko tupo kikanuni kwamba timu zote za ligi kuu, Championship, na ligi daraja la kwanza
Ila shirikisho ya mtani yeye ni uweZo mdogo

"Kama timu lako liko linashiriki rede na upatu yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama"

Hapo hakuna exceptional unayoileta sasa mkuu, shirikisho kwa mujibu wako ni mashindano ya akina mama sasa kwanini mnashiriki?
 
Inaonyesha iliwauma sana mnashiriki mashindano mnafika fainali hapo hapo CAF wanaona huu usng wanataka kufuta mashindano. Hii inauma saaana.

Misimu miwili mbele, Simba inarudisha hadhi ya mashindano na CAF kwa kutambua ukubwa wa Simba hadi zawadi za washindi zinaongezwa.
Kipindi tunashiriki yalikuwa na hadhi
Ila haya ya Sasa Motsepe alivoona mambumbumbu yamo akaona ayafute
 
Back
Top Bottom