Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5

Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
siasa za uke wenza.Lazima wapewe goli sawa
 
Nimecheka mashindano makubwa barani Africa CAFCL nimeishia group stage
Timu lako lipo umamani linacheza rede
Zaidi ya miaka 30 umefika robo fainali mara moja kwenye CAFCL, hivi unapata wapi nguvu ya kutamba wewe chura? Kweli Rage alikuwa sahihi mbumbumbu mmejaa hapo utopoloni.
 
Nimecheka mashindano makubwa barani Africa CAFCL nimeishia group stage
Timu lako lipo umamani linacheza rede
Kuna yule Alger mwengine alikunyoosha fainali una bahati mbaya sana na wakina Alger
 
 
Back
Top Bottom