Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

"Kama timu lako liko linashiriki rede na upatu yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama"

Hapo hakuna exceptional unayoileta sasa mkuu, shirikisho kwa mujibu wako ni mashindano ya akina mama sasa kwanini mnashiriki?
Kwani Kaduguda Kiongozi pale Simba ni si ndo alisema CAFCC ni mashindano ya akina mama Sasa kwanini unilaumu mim
 
Kipindi tunashiriki yalikuwa na hadhi
Ila haya ya Sasa Motsepe alivoona mambumbumbu yamo akaona ayafute
Acha weee, usiniambie mwaya.

Unajua kwamba msimu huu robo fainali ya shirikisho ina timu nyingi zaidi kwenye top 10 ya CAF kuliko zile zilizoko CAFCL? Kwa kuwa uko slow unaweza hata usinielewe.
 
Acha weee, usiniambie mwaya.

Unajua kwamba msimu huu robo fainali ya shirikisho ina timu nyingi zaidi kwenye top 10 ya CAF kuliko zile zilizoko CAFCL? Kwa kuwa uko slow unaweza hata usinielewe.
Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
CAFCL na shirikisho ni mbingu na ardhi, usipende kufananisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina
 
Usilie huu ni utani wa jadi
Usiwe serious mdogo wangu
Mimi sina akili za utani kama wenu.
Napenda hoja zaidi kuliko takataka zako,So Uko kwenye block in next min,siwezi poteza muda kwa vichaa ukiwemo.
 
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5

Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
Kombe gani hilo? Hao Capco ni wa nchi gani? Naona sasa moto umewaka... Safi sana lazima kombe hili tuchukue. Tuwe sawa na akina Al Hilal na Zamalek
 
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5

Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
Hapa tumevuka Makundi safi sana hatimaye tupo Robo Fainali.
 
Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
CAFCL na shirikisho ni mbingu na ardhi, usipende kufananisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina
Kweli Rage aliona mbali saaana kuwaita mbumbumbu kama unashiriki mashindano unapata medali unashangilia kwa kufanya gwaride hadi unaenda kulishwa ugali magogoni hadi unanyang'anywa mchezaji wako. Leo hii unaona ni mashindano yasiyo na hadhi wakati bado unaringishia medali zake. Rage ajengewe sanamu.
 
Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
CAFCL na shirikisho ni mbingu na ardhi, usipende kufananisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina
Kweli. Yanga inashiriki Shirikisho na leo imecheza na Manchester United ya Uingereza. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5

Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga

Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5

Mechi ijayo tutawafunga 10
 
Sasa kwa nini haikuifunga MC Alger mabao matano? Mimi bado sijapona
 
Kweli Rage aliona mbali saaana kuwaita mbumbumbu kama unashiriki mashindano unapata medali unashangilia kwa kufanya gwaride hadi unaenda kulishwa ugali magogoni hadi unanyang'anywa mchezaji wako. Leo hii unaona ni mashindano yasiyo na hadhi wakati bado unaringishia medali zake. Rage ajengewe sanamu.
Mna aibu kucheza shirikisho 🤣
 
Kijana wa Magoma. Kombe gani hilo? Hao Capco ni wa nchi gani? Naona sasa moto umewaka... Safi sana lazima kombe hili tuchukue. Tuwe sawa na akina Al Hilal na Zamalek.
Kwani Copco ipo uko Kaduguda aliposema ni mashindano ya akina mama
 
Kwani Copco ipo uko Kaduguda aliposema ni mashindano ya akina mama
 
Back
Top Bottom