Kwani Kaduguda Kiongozi pale Simba ni si ndo alisema CAFCC ni mashindano ya akina mama Sasa kwanini unilaumu mim"Kama timu lako liko linashiriki rede na upatu yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama"
Hapo hakuna exceptional unayoileta sasa mkuu, shirikisho kwa mujibu wako ni mashindano ya akina mama sasa kwanini mnashiriki?
Aisee Jf inavichaa kumbeTulia mbumbumbu
Acha weee, usiniambie mwaya.Kipindi tunashiriki yalikuwa na hadhi
Ila haya ya Sasa Motsepe alivoona mambumbumbu yamo akaona ayafute
Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbuAcha weee, usiniambie mwaya.
Unajua kwamba msimu huu robo fainali ya shirikisho ina timu nyingi zaidi kwenye top 10 ya CAF kuliko zile zilizoko CAFCL? Kwa kuwa uko slow unaweza hata usinielewe.
Mimi sina akili za utani kama wenu.Usilie huu ni utani wa jadi
Usiwe serious mdogo wangu
Kombe gani hilo? Hao Capco ni wa nchi gani? Naona sasa moto umewaka... Safi sana lazima kombe hili tuchukue. Tuwe sawa na akina Al Hilal na ZamalekLeo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga
Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5
Mechi ijayo tutawafunga 10
Hapa tumevuka Makundi safi sana hatimaye tupo Robo Fainali.Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga
Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5
Mechi ijayo tutawafunga 10
Kweli Rage aliona mbali saaana kuwaita mbumbumbu kama unashiriki mashindano unapata medali unashangilia kwa kufanya gwaride hadi unaenda kulishwa ugali magogoni hadi unanyang'anywa mchezaji wako. Leo hii unaona ni mashindano yasiyo na hadhi wakati bado unaringishia medali zake. Rage ajengewe sanamu.Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
CAFCL na shirikisho ni mbingu na ardhi, usipende kufananisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina
Kijana wa Magoma. Kombe gani hilo? Hao Capco ni wa nchi gani? Naona sasa moto umewaka... Safi sana lazima kombe hili tuchukue. Tuwe sawa na akina Al Hilal na Zamalek.Pole sana kijana wa Rage
Kweli. Yanga inashiriki Shirikisho na leo imecheza na Manchester United ya Uingereza. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
CAFCL na shirikisho ni mbingu na ardhi, usipende kufananisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga
Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5
Mechi ijayo tutawafunga 10
Mna aibu kucheza shirikisho 🤣Kweli Rage aliona mbali saaana kuwaita mbumbumbu kama unashiriki mashindano unapata medali unashangilia kwa kufanya gwaride hadi unaenda kulishwa ugali magogoni hadi unanyang'anywa mchezaji wako. Leo hii unaona ni mashindano yasiyo na hadhi wakati bado unaringishia medali zake. Rage ajengewe sanamu.
Kwani Copco ipo uko Kaduguda aliposema ni mashindano ya akina mamaKijana wa Magoma. Kombe gani hilo? Hao Capco ni wa nchi gani? Naona sasa moto umewaka... Safi sana lazima kombe hili tuchukue. Tuwe sawa na akina Al Hilal na Zamalek.
Kwani Copco ipo uko Kaduguda aliposema ni mashindano ya akina mama
Wewe hauoni aibu kucheza shirikisho?Mna aibu kucheza shirikisho 🤣