Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

Jibu ni UMASKINI!! Kipindi hicho mwenyekiti wa Yanga alikuwa anaitwa Mzee Taabu Mangara. Maarufu sana ila ila pochi ni nyembamba kama chapati!! Kwa hiyo waliitwa kandambili kuonesha kuwa ni timu maskini sana!
Kwa upande mwingine Viongozi wa Pan African walikuwa ni matajiri. Enzi hizo kiatu pendwa cha bei ya juu kilikuwa kinaitwa laizon (chenye soli kubwa iliyoinuka sana na kumfanya mvaaji aonekane ni mrefu).
shukran sanaaaa mkuu wa kutupa history .mungu akubaliki mkuu
 
Back
Top Bottom