Yanga imeifunga Azam mara nyingi ndani ya miaka 5 kuliko Simba kuifunga Azam

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau.
Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.

 
Sasa zile kelele za kwamba azam ikiwa inacheza na yanga inakamia na ikiwa inacheza na simba inaachia ili ifungwe zinatoka wapi
Ulishaambiwa kule wenye akili ni wawili. Sasa unatarajia waseme nini?
 
Toka ushindi wa simba huu ni uzi wa 30 wa malalamiko😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…