Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.

Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.

Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?

Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.

Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.

Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.

Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.

Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
 
Mda wa kuandika huu ujinga mnautoa wapi? Ungefanya research kuhusu upungufu wa chakula nchini ningekuona wa maana sasa unaandika gazeti la huu ujinga ili kumfaidisha nani?
 
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.

Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.

Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?

Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.

Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.

Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.

Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.

Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
Atapeperusha tu bendera kinafiki ila moyoni anajua ni kichapooo
 
Blaza sisi wa kimataifa kitambo sana
 
TIMU KUBWA ZINAANZIA UGENINI ILA MAMA WA KAMBO SASA DE KINYESI BIN WAHEEDD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna timu inaanzia kwa mkapa baba jeni bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Uto Wameyakanyaga Safari hii..
 
Attachments

  • IMG_20220918_220955.jpg
    IMG_20220918_220955.jpg
    36.8 KB · Views: 3
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.

Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.

Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?

Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.

Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.

Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.

Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.

Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
Umeandika yote, ukasahau kumalizia tu kuwa leo ilikuwa chupu chupu waage mashindano. Sijui kama ndani ya dakika 80 uliweza kuwaza haya ila kwavile wamefuzu kwa taabu dakika za jioni ukaja na gazeti la misifa.

Ngoja tuone pengine ikawa safari hii umeambulia kutofedheheka, maana kwenye uzi Kibu vs Mayele umelazwa chali. Uzi wa Try gain kwa Aziz Ki nako chali. Wa Aziz Ki nao huo nao unaanza kukulataa mdogo mdogo. Pengine ikawa unachotaraji kwa Yanga, Mungu anaamua kukifanya kinyume chake
 
Na uzi huu ukifeli jamaa atakuwa ana kigundu sana.
 
Back
Top Bottom