Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

Iwapo mtamfunga El hilal hicho ndicho kitakuwa kipimo sahihi kwa utopolo.
Baada ya hapo sitawaita tena Utopolo.
Kwa humu ndani mna shinda kwa mbinu nyingi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja
 
Attachments

  • VID-20220919-WA0023.mp4
    1.5 MB
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.

Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.

Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?

Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.

Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.

Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.

Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.

Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
Unaandika huu uzi huku mavi yanagonga pichu..teh teh teh...kolo wahed.....atapigwa yoyote anayekuja mbele yetu
 
Ilipotoka fixture tu tayari nili iona Yanga group stage, uhitaji utabiri ni kufuatilia timu anazo kwenda kukutana nazo na kujua ubora wao Kwa Sasa.
 
Bora wakapigwe tu, jaman huku mtaani hatukohoi kisa Yanga kamtoa Zalan, Kwanza timu yenyewe ya Zalan hata Ndanda tu ya Mtwara wanaupigwa mwingi lakin Yanga makelele kila kona!
 
Kwa miaka ya karibuni Al Hilal kila msimu anaingia makundi. Ni mapema sana kutolewa na utopolo

Upo sahihi kabisa mkuu hayo ndio majina tuliyoyazoea kuyaona huko ,sio yanga.

Tuwaache wajionee huko wenyewe ukiwaambia hawata kuelewa.
 
Vipi wewe? Huo muda uliochukua kusoma huu uzi na kisha kucomment si ungeifanya hiyo research wewe? Zaidi wewe ndiye uliyeandika ujinga plus ambao kwa akili zako za kiduwanzi na kiutopolo unaona umeandika bonge la point.
Ni mpuuzi sana huyo, alishaanzaga kujisogeza kwangu, nikamwabia acha kunizoea

Halafu hana ajualo zaidi ya upuuzi kichwani, sasa kuna mada ya mpira yeye anakuja na mada ya upungufu wa Chakula.
 
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.

Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.

Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?

Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.

Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.

Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.

Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.

Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
kusingekuwa na teknolojia ya simujanja ungekuwa mchawi.
 
Bora wakapigwe tu, jaman huku mtaani hatukohoi kisa Yanga kamtoa Zalan, Kwanza timu yenyewe ya Zalan hata Ndanda tu ya Mtwara wanaupigwa mwingi lakin Yanga makelele kila kona!
Hivi unakumbuka mara ya misho yanga kufungwa ni lini?
Unakumbuka pia simba kafa 2 taifa na yanga? Kwa hy nao tuwafananishe na mbea siti?
 
IMG-20220919-WA0100.jpg
 
Back
Top Bottom