Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

Mda wa kuandika huu ujinga mnautoa wapi? Ungefanya research kuhusu upungufu wa chakula nchini ningekuona wa maana sasa unaandika gazeti la huu ujinga ili kumfaidisha nani?
Huo muda wa kuandika huu ujinga umeutoa wapi?
 
Winga Morrison, Winga Kisinda …Kumi Stephane Ki, Mbele King Of The Game “Mayele”, Kati Kati Aucho Na Fei, Kushoto Na Kulia Farid Musa Na Djuma, Nyuma Nazima Mwenyewe MVP Mzee Wa Kazi Chafu Na Mwng Wa Nguvu International Defender Dickson Kazi Af Golini Mdaka Mishale Diarra…..HIVI TUNATOLEWAJE? TUNATOLEWAJE KWA MFANO? MAMAEE!! [emoji28]
 
Next destination is Jangwani[emoji23]
RUN!
 
Ongezea na hii, hata mtee wanao
 
Kwahiyo itakuwaje?!au wafanyaje? Wavae panpazi kabisa...
 
Yanga wajue tu, ile tabia ya kucheza nq vibonde halafu unabanwa mpaka kipindi cha pili ndio unapata magoli waiache, huko mbele ni mtihani haswa..
 
Wivu, chuki na roho mbaya ni mzigo mzito sana.. Yanga lazima aingie makundi.. shida yako umekariri kuwa Yanga ni Ileile ya miaka ya 80..Yanga ikipite uje kunipa matako hayo nikumege
Nakuonya kwenye ya matusi usiingie,huko nimebobea
 
Na watapigwa kama ngoma
 
Kuna huyu na mshana kila uzi wanaoanzishaga kuhusu Yanga uwa wanakuja kuumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…