Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

Wejamaa litakufa jitu!
 
Iwapo mtamfunga El hilal hicho ndicho kitakuwa kipimo sahihi kwa utopolo.
Baada ya hapo sitawaita tena Utopolo.
Kwa humu ndani mna shinda kwa mbinu nyingi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja
 
Umeelezea vizuri sana sasa usije ukabadili chochote kwenye uzi wako huu baada ya mechi ya kwanza kwa mkapa, ni uzi tunaouhifahi kwa reference ya badae maana amchelewi kugeuza maneno baada ya kipigo tena mtoa mada umekuwa bingwa wa kuzikimbia nyuzi zako, inaonekana mashabiki wa makolo wote matumaini yenu yako kwa al hilal sasa mtaaibishwa na mtaondoka uwanjani kwa aibu kubwa, yanga kajipanga ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja na iyo timu yenu mwisho wake ni kwa mkapa sudani ni kwenda kufunga hesabu tu
 
Mda wa kuandika huu ujinga mnautoa wapi? Ungefanya research kuhusu upungufu wa chakula nchini ningekuona wa maana sasa unaandika gazeti la huu ujinga ili kumfaidisha nani?

Vipi wewe? Huo muda uliochukua kusoma huu uzi na kisha kucomment si ungeifanya hiyo research wewe? Zaidi wewe ndiye uliyeandika ujinga plus ambao kwa akili zako za kiduwanzi na kiutopolo unaona umeandika bonge la point.
 
Iwapo Zalan waliwadindia dk 45 zote na hawana hata control ya mpira,itakuwaje kwa hawa wamemtoa st George anayeupiga wa Kibrazil?
Mpira upo hivyo? last season Simba alifungwa na Mbeya city, Kagera na Prison lakini Simba akawafunga Berkane kwa maelezo yako hizo timu zingeweza kuifunga Berkane
 
Kumbe Geita Gold ni timu kubwa? Aliyewaita mbumbumbu hakukosea hamna akili kichwani.
 
Waache watoke tuingie shirikisho ndio level zetu kwa sasa wakati tukiendelea kuijenga timu.
 
Nyie mlianzia ugenini mwaka juzi mkatolewa kwa mkapa
 
Ngoja niweke niweke akiba maneno mpaka siku mechi zote zikipigwa na kumalizika.
Tuko pamoja mkuu, tuache maneno tujitokeze kwa wingi kwa Mkapa tukaipe support timu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…