Kwahiyo hatutakiwi kuzingatia swala la yanga kutokuingia makundi kwa zaidi ya miaka 24 (tangu 1998), kwakua ni story za miaka ya zamani?Unaleta story za mwaka 87 na 92 ina maana hao wachezaji bado wapo hapo?
Iwapo mtamfunga El hilal hicho ndicho kitakuwa kipimo sahihi kwa utopolo.
Baada ya hapo sitawaita tena Utopolo.
Kwa humu ndani mna shinda kwa mbinu nyingi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja
Unaandika huu uzi huku mavi yanagonga pichu..teh teh teh...kolo wahed.....atapigwa yoyote anayekuja mbele yetuHawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.
Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.
Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.
Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?
Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.
Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.
Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.
Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.
Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.
Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.
Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.
Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
Mlitolewa club bingwa na Jwaneng Galaxy unataka ufafanuzi gani?Tulitolewaje fafanua afu ikawaje afu ukaingia ww robo fainal utopolo
Afu baadaya kutolewa ukaingia ww robo fainal au siyoMlitolewa club bingwa na Jwaneng Galaxy unataka ufafanuzi gani?
Kwani Kibudenga na Mayele nani zaidi?Nawasikitikia sana
Wananchi tuna moyo na tuna watu🏃🏃🏃🏃🏃🧍🧍🧍🧍
Kwa miaka ya karibuni Al Hilal kila msimu anaingia makundi. Ni mapema sana kutolewa na utopolo
Ni mpuuzi sana huyo, alishaanzaga kujisogeza kwangu, nikamwabia acha kunizoeaVipi wewe? Huo muda uliochukua kusoma huu uzi na kisha kucomment si ungeifanya hiyo research wewe? Zaidi wewe ndiye uliyeandika ujinga plus ambao kwa akili zako za kiduwanzi na kiutopolo unaona umeandika bonge la point.
Aliyewaita mbumbumbu hakukosea. Unaelewa maana ya Champions league?Afu baadaya kutolewa ukaingia ww robo fainal au siyo
kusingekuwa na teknolojia ya simujanja ungekuwa mchawi.Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.
Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco.
Imecheza nusu Fainali ya michuano ya CAF mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5, Robo Fainali nyingi.
Makundi 'Business as usual' Mara mwisho Msimu Jana, 2021/22, Hilal Kwa Sasa Wana nguvu ya Kiuchimi. Kwanini ?
Wana kikosi kinachokaririwa kua na thamani ya Dola za marekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.
Baada ya Misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal Walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kua raisi wa heshima wa klabu hiyo.
Huyu Mwamba ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika, Baadae akaiuza.
Mwamba huyu anayemiliki klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo Kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.
Aliingia Msimu uliopita ila Msimu huu akaweka Mkwanja, Ambao Umenunua Nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia.
Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano(aliwafunga Simba, Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DRC, Lamine Diedhou kutoka Senegal.
Wakarudisha mtambo wao wa mabao Waleed Bkhet aliyekua Kuwait akitoke Hilal na amerejea tena.
Kama haitoshi Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge wa DRC. Mpango wao ni Operation Semi Finals, Next destination is Jangwani.
Kuna wale mlirdoo kwao mkadroo na hapa kwa magoli mkatupwa nje,Tulitolewaje fafanua afu ikawaje afu ukaingia ww robo fainal utopolo
Hivi unakumbuka mara ya misho yanga kufungwa ni lini?Bora wakapigwe tu, jaman huku mtaani hatukohoi kisa Yanga kamtoa Zalan, Kwanza timu yenyewe ya Zalan hata Ndanda tu ya Mtwara wanaupigwa mwingi lakin Yanga makelele kila kona!
Yanga wamedandia mtumbwi wa vibwengo dadeq zao. [emoji23][emoji23][emoji23]Yanga watapigwa kama Ngoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Chaunabe yanga hii ni ya kuogopwaKwa miaka ya karibuni Al Hilal kila msimu anaingia makundi. Ni mapema sana kutolewa na utopolo