Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Mkuu 🫡
 
Wewe ni mbumbumbu
 
Nenda kafundishe wewe unaandika gazeti refu hata danadana hujawahi kupiga jinga sana wewe yanga sio ya baba Yako acha shobo nayo
 
Yanga haijakata moto shida Yao ipo nje ya uwanja,kama injinia hata jirudi haraka ubingwa haupo hata gemu za kimataifa mtashuhudia vituko chakufa wale WOTE waliomsaidia kuchukua ubingwa mara tatu awakusanye haraka na kupatana nao.Yeye ni rais wa yanga KAZI yake ya kwanza ni kuwaunganisha wananchi na siyo kuwagawa Hilo ndilo lililo wasumbua Simba kwa kumbeza manara harafu ikawagharimu kwa kuamini pesa za moo ndiyo kila kitu wenzao hawana mchango WOTE.Gemu na kmc wamekosa magoli MENGI kweli ila afanye niliyosema ataona matokeo yake akizubaa mtani atashinda kwenye dabi
 
Hukuangalia mechi wewe, unaongelea presha ipi kwa wapinzani? Hao KMC wameokoa Mpira kwenye mstari wa goli zaidi ya mara tatu. Hebu tuwaheshimu wapinzani pia.
 
Imani za kishirikina.. Sikujua kwamba Manara anaweza kuwa suluhisho la madhila ya Manchester United..
 
Selection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.

Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Yanga wanahitaji kufanya mazoezi ya kutosha jinsi ya kupangua ngome ya watu 10, how to penetrate low blocking team
Wabongo mna tatizo sana.. Hivi huwa mnaziangalia kweli match? Hivi huwa mnadhani wachezaji wa timu pinzani wenyewe hawajifunzi kitu? Mlitarajia nini kwa kucheza na timu ambayo imeshusha wachezaji wake wote na kuwa park golini?
Kabla ya kufikiri Yanga imeshu viwanga ulipaswa pia uuangalie mchezo badala ya kusubiri magoli pekee
 
Mashambulizi ya jana ya KMC ni mashuti mawili ya Long Range, sasa hapa unamlaumu beki anapitika kirahisi,mtu kapiga mita zaidi ya thelathini, halafu unasema wanapitika how.Nyie wengine mpira sijui mnaangaliaje,long range unamlaumu beki....... duu.

Huu uzi wako nitakukumbusha baada mechi chache tu zijazo.
 
Umesoma na kukielewa nilicho kiandika kuna sehemu nimeongelea magoli?
 
samahani mkuu hapa umeandika kiufundi au mihemko ya kimpira?
 
Selection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.

Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Mpira Ni biashara wewe huwezi kuelewa. Yanga Ni timu Bora kwasasa kuliko timi yoyote Tanzania. Ubora alio nao yanga, sisi Simba Tunasubiri. Hata mchezo ujao NBC yanga atashinda 1-0
 
Selection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.

Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Yaani kaka unamfananisha dube na mzize? Kuwa serious
 
Wapenetrate ngome ya watu 10 ili iweje? Pia mliojibiwa pale ni zaidi ya wewe
The main objective of a team is to win a match, have made my suggestion for future reference . I will never ever express my mind, to please your mind set, similarly to think the way you want me to
 
Gamondi anapanga wachezaji kulingana na upinzani .
Msimu huu timu dhaifu zinafungwa goli chache Timu ngumu zinafungwa goli nyingi .
Na muhimu kupumzisha wachezaji Muhimu Kwenye mechi ndogo .
Msimu uliopita hakufanya hayo, si team ndogo au kubwa zote zilipata kipigo cha magoli mengi. Hoja yako haina mashiko
 
The main objective of a team is to win a match, have made my suggestion for future reference . I will never ever express my mind, to please your mind set, similarly to think the way you want me to
Has the team not won? This isn’t about me, and it's not personal. Did the team underperform? If not, why comment as though the team is at its worst? Are you considering the opponents? Do you see that they recognized how strong Yanga is, which is why they focused so heavily on defending their goal? When you’re analyzing a match, you have to consider both sides, not just your own. We’ve got to give credit where it’s due.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…