Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni:
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]

- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.