Tetesi: Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7

Nonda alitoroka,walitakiwa wawili,mmoja alikua mtz,mtz aliogopa kuondoka,si unajua akili za kijamaa ile 1990s,ila yanga walitia ngumu,ilikua kawaida yao huko nyuma
Nonda aliuzwa mwaka 1995 na uongozi wa George Mpondela (Casto)
Kwa Dola 10,000/= kwenda Vaal professional ya South Afrika nao Mwaka unao fuata waka muuza Fc Zurich ya Uswis nao wakamuuza Rennes ya France nao wakamuuza Monaco n.k
 
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.

Nonda alitoroka,walitakiwa wawili,mmoja alikua mtz,mtz aliogopa kuondoka,si unajua akili za kijamaa ile 1990s,ila yanga walitia ngumu,ilikua kawaida yao huko nyuma
Sahihi kabisa. Naomba niishie hapo tafadhali
 
Huna unalo lijua, Kaangalie mahojiano ya Bakari Malima aliye ondoka na Nonda utaelewa kuliko kukurupuka. Yaani uingie Nchi ya watu bila vibali na uanze kucheza mpira professional, mambo ya kushangaza sana Kwa namna unavyo fikiri.
Nonda alipata kibali kutoka Congo, Malima alitaka kufanyiwa mpango akaogopa
 
Wewe utakua mbeba upumbavu mkuu maana bila hivyo usingejua huo upumbavu wa Yanga
Inaonekana ni mtoto wa juzi hujui yaliyojiri miaka hiyo. Kaa na wakubwa zako wakusimulie. Hata Edibily Lunyamila angecheza Ulaya akaponzwa na timu ya kipumbavu Yanga.
 
Nyie Generation Z ndio wajuaji wakubwa mnaleta story za kusimuliwa mnataka kuwabeba baba zenu hapa. Nenda kapeleke ngonjera kwa vitoto vyenzako huko
 
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
Nonda alikua mchezaji halali wa Yanga msimu 1994/1995 na Msimu uo Yanga ilitolewa na Black pool ya Zimbabwe katika hatua ya Robo fainali Kombe la washindi Afrika.
Yanga wakiwa toa vaal professional ya South Afrika kwa Agg ya 4-2
Wakaja kuwatoa timu ya Mauritania wakaja kutolewa na Black pool hatua ya Robo fainali.
Baada ya Yanga kutolewa ndipo Vaal professional waka muhitaji Nonda.

Nonda aliuzwa Chini ya Mwenyekiti Mpondela kwa Dola 10,000/= kwenda Vaal professional ya South Afrika

Haiwezekani ITC ya Nonda itoke shirikisho la mpira la DRC wakati mchezaji Nonda alikua amesajiliwa na Yanga.
Haiwezekani Nonda ashiriki michuano ya Kombe la washindi mpaka hatua ya Robo fainali wakati kibali wanacho shirikisho la mpira DRC.

Kama ITC yake ingekua haipo Tanzania (FAT) asingeweza kuchezea Yanga mashindano ya Ligi ya Ndani Wala Mashindano ya kimataifa.

Nonda alikwenda Vaal professional kwa baraka zote za Yanga na Chama Cha mpira wa miguu Tanzania kilituma ITC yake kule South Afrika.
 
Nonda alikua mchezaji halali wa Yanga msimu 1994/1995 na Msimu uo Yanga ilitolewa na Black pool ya Zimbabwe katika hatua ya Robo fainali.
Yanga wakiwa toa vaal professional ya South Afrika kwa Agg ya 4-2
Wakaja kuwatoa timu ya Mauritania wakaja kutolewa na Black pool hatua ya Robo fainali.
Baada ya Yanga kutolewa ndipo Vaal professional waka muhitaji Nonda.

Nonda aliuzwa Chini ya Mwenyekiti Mpondela kwa Dola 10,000/= kwenda Vaal professional ya South Afrika

Haiwezekani ITC ya Nonda itoke shirikisho la mpira la DRC wakati mchezaji Nonda alikua amesajiliwa na Yanga.
Haiwezekani Nonda ashiriki michuano ya Kombe la washindi mpaka hatua ya Robo fainali wakati kibali wanacho shirikisho la mpira DRC.

Kama ITC yake ingekua haipo Tanzania (FAT) asingeweza kuchezea Yanga mashindano ya Ligi ya Ndani Wala Mashindano ya kimataifa.

Nonda alikwenda Vaal professional kwa baraka zote za Yanga na Chama Cha mpira wa miguu Tanzania kilituma ITC yake kule South Afrika.
Umeandika upupu.
 
Back
Top Bottom