Tetesi: Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7

Hapo nia ni kumkomoa Mzize ili aendelee kumsujudia Hersi na chawa wake,nchi imejaa visokorokwinyo hii!
 
Hana hyo thamani ya hizo bilioni......😊😊😊
 
Wydad ya Temeke mikoroshini labda, mxxxxiiiieeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
 
sema navyowajua yanga wasipotaka kuuza mchezaji hata ajae real madrid na euro 100mil,hawakuuziii...hapa mzize kama anataka kusepa basi aanzishe migomo hata ya kutokula kabisa asitegemee yanga watatishwa na hela ukubwa wa klabu wao kuuza uza sio mambo yao kabisa
 
Stori za vijiweni na kuwapa faraja utopolo.. Mzize anabebwa na mafanikio ya Yanga na yeye kwenye hayo mafanikio mchango wake ni mdogo sana.

Ashukuriwe Mayele na Aziz .
 
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
Huna unalo lijua, Kaangalie mahojiano ya Bakari Malima aliye ondoka na Nonda utaelewa kuliko kukurupuka. Yaani uingie Nchi ya watu bila vibali na uanze kucheza mpira professional, mambo ya kushangaza sana Kwa namna unavyo fikiri.
 
Akanenepeshwe wamemwona kizingiti kwenye mashindano wakamuhifadhi kikanuni kama akina niqson wasimba
 
Huna unalo lijua, Kaangalie mahojiano ya Bakari Malima aliye ondoka na Nonda utaelewa kuliko kukurupuka. Yaani uingie Nchi ya watu bila vibali na uanze kucheza mpira professional, mambo ya kushangaza sana Kwa namna unavyo fikiri.
Unanibishia mimi?
 
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
Aliondoka kama house boy eti? Ila mbumbumbu sijui mlilogwa na nani? so ICT alijitengenezea stationary?
 
Kuna namna wenzetu wanavyochanganua mambo. Huyu Mzize anadharaulika kwa sababu ya Utanzania wake ila ana potential ya kuwa mshambuliaji hatari sana.

Muda utaongea.
Mzize ile ninamba nyingine muda utazungumz.
 
Kuna wakati lazima umvimbie yule anayejifanya mwamba.

Lakini nachokiona Yanga inaongeza thamani ya mchezaji.

Wachezaji wa kibongo wataanza kuthaminiwa sasa. Muhimu watafute mahala sahihi ya ku show case their abilities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…