Tetesi: Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7

Katika watu naowakubali kwenye hili jukwaa la michezo basi wewe ndo namba moja... Hua napenda sana kusoma comments zako coz hua zinaniongezea kitu ... [emoji1666]
 
Hapo nia ni kumkomoa Mzize ili aendelee kumsujudia Hersi na chawa wake,nchi imejaa visokorokwinyo hii!
Hapana sio kumkomoa bali cha kwanza kieleweke ni kwamba Yanga ina malengo yake msimu huu na Mzize yupo katika mipango ya kocha kwenye msimu huu na usajili umeshafungwa dirisha hili hivyo Yanga lazima wafanye biashara ya faida kwamba wanalazimika kumuuza kwavile dau limekuwa nono zaidi. Hakuna replacement ya Mzize kwasasa hivyo italazimika kupangua mipango ya kocha. Jambo la pili ni Mzize anaongezewa thamani hapo, kama atauzwa kwa bei kubwa ni ngumu sana kuwekwa benchi labda itokee kashuka kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…