Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC

Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
IMG_0505.jpeg
IMG_0506.jpeg
IMG_0507.jpeg
IMG_0508.jpeg

Pia, Soma:

Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo
 
Vita haichagui slaha
Kikubwa Kijili alifanya jambo jema
Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake

Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.

Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.

Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
 
Mwite injinia aje atengeneze uwanja wako hata kama ramani ya uwanja ilikuwa ina mfumo kama wa chupa kuwa mlango ni mmoja.

Lakini siku ya uzinduzi weka mechi ya Simba na Yanga.

Then Yanga watakuja kukuonesha mlango mwingine ambao hata injinia haujui.
 
Malizia mwisho hivi:
Makolo walikula chuma

Yanga tuna mbinu, tuligundua uchawi wenu
 
Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake

Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.

Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.

Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
Wanatumia uchawi kwenye mechi zao hawa manyani bila uchawi hawashindi..nasikia walipitia kwenye mitaro ya maji machafu..[emoji706]
 
Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake

Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.

Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.

Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
😂😂😂😂😂😂 Dahhh
 
Me naona hapo simba ndio angepigwa faini as long as Yanga mbinu yao imewasaidia
Simba Aseme aliweka nini kwenye lango rasmi😃
 
Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake

Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.

Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.

Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
Nimecheka sana aki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Meneja analazimisha refa kwenye mechi na Coastal Union aamue anavyotaka yeye.Watu wakisema kwamba mnabebwa bila aibu mnabisha.
 
Uchawi wa kutega milangoni huwezi wapata Yanga.
Tusisahau Simba ndio klabu inayo tambulika na CAF kwa mambo ya kishirikina kwa kiwango Cha lami.

Kule South Afrika wali itia Nchi fedheha kwa kuwasha moto wa kishirikina katikati ya uwanja ugenini na Bado waka kandwa na Orlando Pirates.

Kwa hapa bongo kwa misimu kumi mfululizo katika matukio tofauti Simba imekua ikiadhibiwa kwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina.

Bahati mbaya kwa Simba Yanga inafahamu mitego Yao yote ya kichawi katika milango ya kuingilia uwanjani na uweza kuikwepa kwa kutopita maeneo husika na kwenda kuwa Kanda uwanjani.
 
Yanga ni timu ya malofa hata vitabu vys historia vimethibitisha,hawa jamaa hawajielewi ni matahira...image lofa kila rangi wanavaaa hana rangi maalum...sasa kupitia mlango wa nyuma ni jambo la kawaida kwa malofa.
 
Yanga inaendeshwa kisasa waachane na mambo ya kuamini ujinga
Usasa ndio unao isaidia Yanga kuifunga Simba Kila wakati.
Yanga imewekeza katika kujua ubora na udhaifu wa Simba, Simba uwanjani hawana timu ya kushindana na Yanga kwa Sasa.

Simba wamebaki na eneo Moja ambalo Bado Wana Nguvu ni kwenye ushirikina, Ndio maana Timu nyingi za nje zinapokuja bongo zinapata taabu na kushangaa kufungwa na Simba dhaifu.
Timu za nje zinaelewa zinafanyiwa ushirikina na Simba na zimekuwa zikipeleka malalamiko mengi ila CAF wanakosa ushahidi mpaka walipo wakamata kule South na kuwatandika fain ya Dola 23,000/=
Apa Bongo Yanga imewekeza vya kutosha kufahamu Simba uwa Wana Fanya Nini kabla ya mechi dhidi Yao nje na kwenye jengo la uwanja.

Kuna vitu vya ajabu Sana vinafanyika na kwa heshima ya mpira na wahusika ambao baadhi ni viongozi wa timu ya Simba siwezi kuweka video zao humu.

Usione Yanga anaitandika Simba atakavyo ni uwekezaji mkubwa na WA maeneo mengi ikiwemo uta alamu wa kufahamu yote afanyayo mtani kabla ya mechi.
 
Back
Top Bottom