Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
Pia, Soma:
• Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
• Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo