Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
SwadaktaVita haichagui slaha
Kikubwa Kijili alifanya jambo jema
Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwakeVita haichagui slaha
Kikubwa Kijili alifanya jambo jema
Wanatumia uchawi kwenye mechi zao hawa manyani bila uchawi hawashindi..nasikia walipitia kwenye mitaro ya maji machafu..[emoji706]Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake
Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.
Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.
Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
😂😂😂😂😂😂 DahhhClub hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake
Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.
Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.
Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
Nimecheka sana aki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Club hiyo kongwe ambayo imekuwa na mwendelezo wa kuendeshwa kitamaduni imejikuta ikikumbana na adhabu mbalimbali kutoka Bodi ya ligi karibu kila mechi ambayo ilikuwa ngumu kwake
Ikumbukwe siku ya Derby timu hiyo ilitanguliza basi la Club uwanjani huku ndani yake kukiwa na dereva peke yake.
Meanwhile wachezaji walikuja kwa namna wanayoijua wao na mpaka sasa haifahamiki walitumia usafiri gani kufika uwanjani.
Lakini licha ya hivyo pia hata baada ya kuonekana wapo uwanjani bado pia timu hiyo haikutumia mlango rasmi kuingia
uwanjani.
Hizi za kuweka kitu kwenye lango rasmi, hatuwezi fanya issidie taifs stars?Me naona hapo simba ndio angepigwa faini as long as Yanga mbinu yao imewasaidia
Simba Aseme aliweka nini kwenye lango rasmi😃
Yanga inaendeshwa kisasa waachane na mambo ya kuamini ujingaMe naona hapo simba ndio angepigwa faini as long as Yanga mbinu yao imewasaidia
Simba Aseme aliweka nini kwenye lango rasmi😃
Usasa ndio unao isaidia Yanga kuifunga Simba Kila wakati.Yanga inaendeshwa kisasa waachane na mambo ya kuamini ujinga