Yanga imenisababishia Hasara, nimepoteza Mil 5 baada ya Ushindi wao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Lengo la Uzi huu si sana kujutia kupoteza hela, bali ni kuuweka kama funzo kwa wadau wengine kwamba, iko siku hata saa mbovu inaweza kuonyesha muda sahihi.

Kiukweli kwa mara ya kwanza niliganda ubongo, maana sikudhani hata chembe kama Yanga anaweza kuambulia hata sare huko Algeria, achilia mbali kushinda, kujiamini kwangu kulifanya niropoke kwa rafiki yangu wa Chanika ambaye nilimuahidi kumalizia nyumba yake ikiwa Yanga itapata goli Ugenini au hata ikitoka sare, sasa baada ya kuwekeana kamali hii nilimwambia anipe gharama ambayo napaswa kujiandaa nayo ikiwa maajabu hayo yatatokea , nikaambiwa ni 5mil.

Pamoja na ukweli kwamba sikuamini kama yanga yaweza kutoboa, sasa napaswa kulipa gharama hiyo Jumatatu kabla ya saa 6 mchana.

Natoa wito kwa wadau wote kwamba, kabla ya kuahidi jambo muwe makini kuangalia alama za nyakati.

Nalipa lakini siipendi Yanga
 
Mkaacha tamaa
Screenshot_20230604-002734.jpg
 
washabiki wa mipira hua ni watu wajinga wajinga tu. Huwezi kukuta mtu smart anashabikia mamipira. Kuna wengine eti wanakufa kwa mshtuko kisa timu fulani imefungwa, stupid hilo liteam hata hawakujui, hawakutambui wakishinda wakishindwa inakuongezea nini, very stupid.
 
Kwahiyo wewe na mzee kikwete au majaliwa au dangote ni yupi smart kwasababu hao ni wanazi wa mpira... elimu ya kata ni tatizo duniani
 
Lengo la Uzi huu si sana kujutia kupoteza hela, bali ni kuuweka kama funzo kwa wadau wengine kwamba, iko siku hata saa mbovu inaweza kuonyesha muda sahihi.

Kiukweli kwa mara ya kwanza niliganda ubongo, maana sikudhani hata chembe kama Yanga anaweza kuambulia hata sare huko Algeria, achilia mbali kushinda, kujiamini kwangu kulifanya niropoke kwa rafiki yangu wa Chanika ambaye nilimuahidi kumalizia nyumba yake ikiwa Yanga itapata goli Ugenini au hata ikitoka sare, sasa baada ya kuwekeana kamali hii nilimwambia anipe gharama ambayo napaswa kujiandaa nayo ikiwa maajabu hayo yatatokea , nikaambiwa ni 5mil.

Pamoja na ukweli kwamba sikuamini kama yanga yaweza kutoboa, sasa napaswa kulipa gharama hiyo Jumatatu kabla ya saa 6 mchana.

Natoa wito kwa wadau wote kwamba, kabla ya kuahidi jambo muwe makini kuangalia alama za nyakati.

Nalipa lakini siipendi Yanga
bali ni kuuweka kama funzo kwa wadau wengine kwamba, iko siku hata saa mbovu inaweza kuonyesha muda sahihi. [emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
washabiki wa mipira hua ni watu wajinga wajinga tu. Huwezi kukuta mtu smart anashabikia mamipira. Kuna wengine eti wanakufa kwa mshtuko kisa timu fulani imefungwa, stupid hilo liteam hata hawakujui, hawakutambui wakishinda wakishindwa inakuongezea nini, very stupid.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeongea kwa uchungu
 
Back
Top Bottom