uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake
Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga
Waangalie haraka namna ya ku offload ego za wachezaji nje ya hapo safari ya kupoteza haiko mbali