Peleka timu Yako tuone watapata Matokeo gani dhidi ya Yanga.Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake
Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga
Waangalie haraka namna ya ku offload ego za wachezaji nje ya hapo safari ya kupoteza haiko mbali
Huenda ngoja tuendelee kuangalia ligi inavyoenda ila naamini hata wao huko ndani hawatasema ligi inakuwa ila wataangalia zaidi shida ni Nini hasa pale kwenye forwardsNi kweli pia na ligi inakua pia sio 5 tena kirahisi rahisi nd mana hata azam anaonekana kama dhaifu kumbe wapinzani nao wako moto saiv!!
Yanga ni ile ile, imetengeneza nafasi vile vile kama kipindi cha nyuma, bado ni timu hatari na tishio na Leo KMC alijipanga vizuri ndo maana kafungwa goli moja.Huenda ngoja tuendelee kuangalia ligi inavyoenda ila naamini hata wao huko ndani hawatasema ligi inakuwa ila wataangalia zaidi shida ni Nini hasa pale kwenye forwards
Kwani ya kwako iliyopata timu imefunga mangapi huko?Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake
Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga
Waangalie haraka namna ya ku offload ego za wachezaji nje ya hapo safari ya kupoteza haiko mbali
Reserved!kapoteza umakini tu ngoja mechi na nyau utajua imepotea ama hapana
Tarehe 19 October panapo majaaliwa si mbali labda mje Tena na refa wa kupunguza magoli.Wachezaji wa Uto ni AGE Go, labda lipatikane duka