Yanga imepata wachezaji imepoteza team

Nini maana ya tuhuma? Hivi nani hakuuona moto wa Yanga msimu uliopita?umewahi kucheza mpira katika level ipi isije nikawa nabishana bure tu...inamaana unataka kuniambia simba asingefungwa 5 mungesajili wachezaji kama hawa tunaowaona au nungewaacha tu walewale?Hawa viongozi wa simba na Yanga wote wanafanana mawazo pale timu zinapofanya vibaya lazima watafute wakuwatupia lawama ili kupunguza kelele za mashabiki....unakumbuka zile tuhuma za simba kuwapulizia sumu timu ngeni zilizokuwa zinakuja kwa ajili ya ligi ya mabingwa vipi unaamini kuwa ilikuwa ni kweli au hizo timu zilikuwa zinazidiwa uwezo tu uwanjani wakawa wanasingizia tu uongo ili kuwafariji mashabiki?
 
Simba imecheza mechi ngumu za CAF

Simba kacheza mechi ngapi za CAF na Yanga kacheza mechi ngapi?

Simba ina wachezaji wangapi timu za Taifa na Yanga inayo wangapi?

Usifanye mchezo na fatigue, huwa ina disturb match fitness...
 
Una point boss
 
Kwamba simba yako inayomilikiwa na tajiri zaidi afrika mashariki walihongwa kile kipigo cha 5? Halafu kwa akili hizi ndio munajiita wasomi😆😆😆
Sisi kama yangu chukua hizi za ndani bashasha alipewa manura,inongo na baleke
 
Kipindi Cha Boniface Ambani akiwa top striker hapo YANGA kwa wenye kumbukumbu nzurii watakumbuka.

Aliwai kusema kua Kuna wachezaji walikua wanamnyima PASI au kumpa PASI chonganishi 😂

Ndicho kitakacho tokea kwa YANGA hii let wait & see.
 
Timu pinzani ziko vizuri, hivi mnashindwa kuona hilo??

Mechi zote za ligi kuu mpaka sasa ni mechi chache timu zimeshinda magoli mengi tofauti na msimu jana.

Vijana wako njema, wana ari si mchezo.
 
Umesema nachowaza kwa mfano
 
Timu pinzani ziko vizuri, hivi mnashindwa kuona hilo??

Mechi zote za ligi kuu mpaka sasa ni mechi chache timu zimeshinda magoli mengi tofauti na msimu jana.

Vijana wako njema, wana ari si mchezo.
Ubutu wa safu ya ushambuliaji umekuwa dhahiri sana hata kocha ameonesha mashaka na hilo
 
Ngoma ikivuma sana...
 
Ngoma ikivuma sana...
 
Umeandika sawa sana hata Jana nilishtuka kusikia ndie man of the match
Kuhusu viungo uko sahihi kuhusu mwl uko sahihi
Ni ukweli ambao kusema inaonekana sio mwana yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…