Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Kwa hiyo vumbi litahusika ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Binafsi natoa pakiti 36 za mipira lakini kwa vijana wa TP Mazembe, Chura lazima abinuke. ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐ŸŠ
 
Hivi tuwaombee au wajiombee..anayeombewa ni yule aliyefariki.
6169f546101345669ec3c20cb050a838.jpg
 
Haina haja sababu sheria ina taratibu zake..hajataja yanga, na hata huo utamu wanasheria watashindwa kutafsiri maana yake ..ibaki tu kuwa wasemaji wamekuwa sio wasemaji wa taasisi ni kama wa mashabiki..yani lopolopo zisizo za maana kufurahisha mashabiki wa timubyake na kuwaudhi au kukera mashabiki wa timu pinzani..mm nadhani kama wasemaji wa club waache aina hii ya usemaji , wawe serious na ishu serious za club...labda club ziwafanye wawe wasemaji wa mashabiki wao..utani. upuuzi mwingi ili watu wajue mashabiki wanataniana...la watumike kwenye vitengo vya propaganda. Mawazo yangu tu..kwa wasemaji wa yanga, simba , azam na hata vilabu vyenye wasemaji kama hao.
 
Maneno ya hawa wasemaji yanaudhi na ni hatari, kuna haka ya kuwadhibiti.

Vv
 
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Kwa akili yako ww umepokeaje kauli hii? Utamu ni neno la kawaida tu kama ukisema nyama ya Bata ni tamu, kosa liko wapi??!!! Au Mimi nikikutaja wewe unatoa utamu Kwa marafiki zako, unaelewaje??? Utamu upo ktk dimension Pana, mfano ni kama ukimkuta mtoto anagawa pipi, unaweza kusema mtoto anatoa utamu Kwa maana kwamba kile anachotoa kina ladha tamu. Semaji la Caf hana baya.
 
Back
Top Bottom