Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

Kwa akili yako ww umepokeaje kauli hii? Utamu ni neno la kawaida tu kama ukisema nyama ya Bata ni tamu, kosa liko wapi??!!! Au Mimi nikikutaja wewe unatoa utamu Kwa marafiki zako, unaelewaje??? Utamu upo ktk dimension Pana, mfano ni kama ukimkuta mtoto anagawa pipi, unaweza kusema mtoto anatoa utamu Kwa maana kwamba kile anachotoa kina ladha tamu. Semaji la Caf hana baya.
Usitumie nguvu kunijibu. Unaweza kujifunza kwa wenzio hapo juu. Relax
 
crazy frog(s).jpeg
 
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Kugawa utamu ni jambo la kumshitaki mtu kweli?
 
Aiseee
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
😂😂😂
 
Maneno ya hawa wasemaji yanaudhi na ni hatari, kuna haka ya kuwadhibiti.

Vv
Mimi huwa yananifurahisha sana.
Ahmed Ally anaongeaga akiwa katulia na sura yake ya kama kijana mpole mpole kumbe ana vineno kwelikweli.
 
Back
Top Bottom