OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahahaha ba mutu ya congo bataokota kunyavuuNisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πππ
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Nyie hamgawi utamu?Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πππ
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Nyie bila hata vumbi hua tunapaka mate tuNa vumbila congo tena si watarudi hapa wametolewa bawasiri tayari
Kwa hiyo vumbi litahusika π€£π€£π€£π€£Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πππ
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
hata mate huwa hatuwapaki ute wanao tayari!Nyie bila hata vumbi hua tunapaka mate tu
Labda ushindi wa kujamba. Mamaeee!Hivi tuwaombee au wajiombee..anayeombewa ni yule aliyefariki.
View attachment 3175790
Na hapo Malaika bado hawajaja kucheza nao mbona balaa hili na kesho chupi la chura inawekwa upande tena na bamutu ba congoleeHivi tuwaombee au wajiombee..anayeombewa ni yule aliyefariki.
View attachment 3175790
Binafsi natoa pakiti 36 za mipira lakini kwa vijana wa TP Mazembe, Chura lazima abinuke. πΈπΈπΈπΈπΈπ
Sangizi akili unazo kweli au umedata na utamu mnaougawa nje ndaniTeam ina mwaka wa tatu haina hata kikombe cha uji, ila mdomo sasa kama Mwajuma Nipe
Kwa akili yako ww umepokeaje kauli hii? Utamu ni neno la kawaida tu kama ukisema nyama ya Bata ni tamu, kosa liko wapi??!!! Au Mimi nikikutaja wewe unatoa utamu Kwa marafiki zako, unaelewaje??? Utamu upo ktk dimension Pana, mfano ni kama ukimkuta mtoto anagawa pipi, unaweza kusema mtoto anatoa utamu Kwa maana kwamba kile anachotoa kina ladha tamu. Semaji la Caf hana baya.Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πππ
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho