Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

Usitumie nguvu kunijibu. Unaweza kujifunza kwa wenzio hapo juu. Relax
 
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Kugawa utamu ni jambo la kumshitaki mtu kweli?
 
Aiseee
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.

Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maneno ya hawa wasemaji yanaudhi na ni hatari, kuna haka ya kuwadhibiti.

Vv
Mimi huwa yananifurahisha sana.
Ahmed Ally anaongeaga akiwa katulia na sura yake ya kama kijana mpole mpole kumbe ana vineno kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…