Yanga imuuze Feitoto

Sasa Kama nyie mnaamini alikuwa na haki ya kuvunja mkataba mbona hamsemi timu iliyomsajiri?.., Kama umemnunua Sawa Dogo kwa 150m leo 500m kwa Fei?.
 
Kucheza sio lazima labda kama Mkataba umeainisha hivyo (kitu ambacho sio rahisi)

Vipi na mchezaji akisajiliwa halafu akawa hapangwi kikosini je anayo haki ya kurudi kusema mmevunja Mkataba?
 
Mfano wangu wa kina Young Thug na Kodak Black unafana kabisa na mfano wako wa daraja sema tu basi ningeutoa mimi ningeonekana mbishi, ila umeutoa wewe basi unaujua mpira
 
Sasa Kama nyie mnaamini alikuwa na haki ya kuvunja mkataba mbona hamsemi timu iliyomsajiri?.., Kama umemnunua Sawa Dogo kwa 150m leo 500m kwa Fei?.
Sasa 150m na 500m wapi na wapi?

Ningekuwa mwanasaikolojia ningesema kwa kuwa mnatajataja hiyo milioni 500 ni kuwa mmeumia siyo tu Feisal kutaka kuondoka bure lakini msingetaka aondoke kwa dau lolote lile kutokana na muunganiko aliokwishajijengea na wenzake uwanjani.

Mioyo yenu imeumizwa na kupondekapondeka kwa maamuzi ya Feisal.
 
Kwanza hawa si ndo wasaosema 4M ni nyingi

Hawa ndio tuliwategemea waje na offer ya chini kwasababu wanaijua thamani ya hela kuliko wengine
 
Kwanza hawa si ndo wasaosema 4M ni nyingi

Hawa ndio tuliwategemea waje na offer ya chini kwasababu wanaijua thamani ya hela kuliko wengine
Yaani wanatajataja tu mamilioni bila hata kufikiria wanachosema. Wanadai wanamkomoa na kumfundisha adabu!
 
Milioni 500 atoe nani na saizi hela zilivyo ngumu wao hawaoni?

Huyo AziI Ki tu ujio wake ulileta economic depression ukasomba mpaka pesa ya kambi ya Turkey
 
Yaani wanatajataja tu mamilioni bila hata kufikiria wanachosema. Wanadai wanamkomoa na kumfundisha adabu!
Mitandaoni kila mtu anajidai anaiheshimu hela halafu linapokuja swala la offer ya kumuuza wanataja digits nyingi

Nashindwa kuwaelewa ni wakati gani pesa ndogo inakuwa na thamani na wakati gani pesa ndogo inakuwa ndogo
 
Si walikuwa wanamlipa 3m kwa mwezi..kawapa chao hawataki...uto bana.
 
Hoja ya msingi ni mkataba Mambo ya muunganiko ni swala kitaalam ambalo inapokuja nafasi yake kwa wataalamu hashindwi kuleta muunganiko... Leo ni zaidi ya mechi 10+ hayupo kikosini timu inafanya vizuri Sasa bado unataka muunganiko wakukatika viuno?. Kuondoka kwake yanga haiwezi kuathirika, yanga ni taasisi kubwa hiwezi kutegemea mchezazaji mmoja. Feisal aliihitaji yanga kuliko yanga inavyomhitaji yeye. Asubihi nimesikiliza mchambuzi mmoja wa S.Afrika akisema Tz wachezaji hawana elimu ndio maana hawajui wafanye nini?. Hivi kwa akili zako timamu unaweza kumuomba ushaur et Fatuma karume 😅😅..
 
Labda wamuuze kwa 150M wapate faida ya 30M

30M itakiwa ni faida Itawatosha kulipia mishahara ya miezi mitatu mitatu kwa kina Mwanyeto, Bangala, Faridi na Nkane
 
Hio fidia itakua sh ngapi unadhani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mitandaoni kila mtu anajidai anaiheshimu hela halafu linapokuja swala la offer ya kumuuza wanataja digits nyingi

Nashindwa kuwaelewa ni wakati gani pesa ndogo inakuwa na thamani na wakati gani pesa ndogo inakuwa ndogo
Ukiwauliza wametumia formula gani kupata hiyo thamani sidhani kama wana jibu. Mchezaji ambaye wamempata kama zawadi hawakumnunua hata kwa shilingi, wanamlipa milioni 48 kwa mwaka, kwenye payroll ya timu sijui anashika nafasi ya ngapi huko chini, wamekuwa wamamlisha ugali na sukari, sasa hivi hata mchango wake kwenye timu wamekuwa wanaudhihaki halafu leo wanakuja na figure ya milioni 500 kumuuza.
 
Ukifanya summation baada ya makodi hapo total inakuja 38M

Haya bado Manara hajamkopa dogo kwasababu anamuweza.

Bado kwenye hiyo hiyo hela utasikia amekatwa mshahara kwasababu ya kosa fulani
 
Labda wamuuze kwa 150M wapate faida ya 30M

30M itakiwa ni faida Itawatosha kulipia mishahara ya miezi mitatu mitatu kwa kina Mwanyeto, Bangala, Faridi na Nkane
Waache tamaa, 150m inawatosha sana. 30m wanaweza kushindia hata game 5 za ligi ili waendeleze unbeaten.
 
Hawajali muda wanaopotezea mawakili wao. Itakuwa ni mawakili wa bei ya chini maana ni ujinga huu wanaoendekeza.
Bora wangechukua zile 112m.
Ukilinganisha usumbufu na muda waliopoteza.
 
Ukifanya summation baada ya makodi hapo total inakuja 38M

Haya bado Manara hajamkopa dogo kwasababu anamuweza.

Bado kwenye hiyo hiyo hela utasikia amekatwa mshahara kwasababu ya kosa fulani
Inasikitisha sana.
 
Kucheza sio lazima labda kama Mkataba umeainisha hivyo (kitu ambacho sio rahisi)

Vipi na mchezaji akisajiliwa halafu akawa hapangwi kikosini je anayo haki ya kurudi kusema mmevunja Mkataba?
Shida yako una kichwa kigumu unaleta swali juu ya swali hoja yangu ni "ni kwa namna gani mkataba unaisha vipi bila kutumika" ? usilete story nyingi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…