Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Sasa Kama nyie mnaamini alikuwa na haki ya kuvunja mkataba mbona hamsemi timu iliyomsajiri?.., Kama umemnunua Sawa Dogo kwa 150m leo 500m kwa Fei?.Hivi hiyo milioni 500 mnayoitajataja mnaitoa wapi? Mayele mwenyewe hauziki milioni 500.
Hiyo barua mnasubiri nini kumuandikia, hukumu si ilishatoka kitambo, jana ilikuwa ni review tu? Wote tunasubiri hiyo barua ili toeni kweli mnaamini huyu ni mchezaji wenu.