Yanga imuuze Feitoto

Yaan basic salary iwe 4m umuuze kwa 500m?

Kwa labda wamboreshee mkataba ili naye apewe kiasi fulani, then ndo wamuuze.
Kweni mchezaji huwa anauzwa kwa kuiangalia basic salary??

Nikupe mfano

Angalia mshahara alokua analipya Antony pale ajax alafu angalia dau alauzwa nalo.

Angalia mshahara alokua analipya Enzo pale Benifica alafu angalia dau alouzwa nalo.

Kinachoangaliwa mchezaji auzwe dau gani ni Ile Release clause yake iliyopo kwenye mkataba
 
Kama Yanga walimuhitaji tena morisson aliyewaburuza hadi CAS , Feisal ndiye asipate timu kisa tu kaikataa Yanga?
 
Injinia mara zote amekuwa akisema,timu inayomtaka Feitoto ipeleke ofa mezani wazungumze.Cha ajabu hakuna timu anaejitokeza. Sa unataka Yanga wafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…