Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Umechelewa sana kujua, Kuna wakati Manji alitoa ofa waingie bure kwa Mkapa, uwanja ulijaa saa 12 alfajiri, Hadi Waandishi wa Habari walikosa nafasi
Hii game nilienda saa tano asubuhi nikaishia kukaa kwenye ngazi uwanja ulifulika watu kupindukia tena ilikuwa na TP mazembe.
 
Sasa timu ya malofa ulitegemea nini?Wanywa supu huwa ni walevi au waliojifungua.Chagua wewe ni nani?
 
Yanga na Simba zote zina hiyo tabia ya kujazana klabuni asubuhi. Ila wale wa Yanga naona wamezidi. Kuna jamaa aliacha ajira nzuri Kigoma ili tu awe anashinda pale klabuni Jangwani.
dah isijekuwa alipigwa kipapai na wazee wa kigoma
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Pengine wameahidiwa supu baada ya mechi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom