Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisaMkuu una hoja lakn uzi wako uko biased! Kwa kifupi tz kuna mazwazwa mengi ,,, ! Watu 24/7 ni mpira tu huko vijiweni kujadili,,,, utasikia sijui aziz k akafanyaje, mara mukwala tumepigwa, sijui fei anatoka na nani,,,, ili mradi mpira tu ! Mara penalties, sijui GSM kafanyeje,,,Mo kasusa n.k ! Hizi timu 2 za kariakoo hazikauki midomoni mwa watu ,,,, unakumbuka kipndi samatta anasajiliwa villa ? Kwenye page zao za mitandao tulikuwa tunatia aibu,,,, same applies to yule dada nimemsahau jina anacheza Brighton ya wanawake Epl, akipostiwa tu mizwazwa inaenda kujaza comment na upuuuz mwingi ,,,, ! Tunaonekana hatujitambui na hatuna majukumu mengi , ama ni ushamba wa mitandao ? Tuna safari ndefu sana ! Slogan ya lowassa (r.i.p) ilikuwa elimu, elimu elimu
Tunatia aibu sanaMkuu una hoja lakn uzi wako uko biased! Kwa kifupi tz kuna mazwazwa mengi ,,, ! Watu 24/7 ni mpira tu huko vijiweni kujadili,,,, utasikia sijui aziz k akafanyaje, mara mukwala tumepigwa, sijui fei anatoka na nani,,,, ili mradi mpira tu ! Mara penalties, sijui GSM kafanyeje,,,Mo kasusa n.k ! Hizi timu 2 za kariakoo hazikauki midomoni mwa watu ,,,, unakumbuka kipndi samatta anasajiliwa villa ? Kwenye page zao za mitandao tulikuwa tunatia aibu,,,, same applies to yule dada nimemsahau jina anacheza Brighton ya wanawake Epl, akipostiwa tu mizwazwa inaenda kujaza comment na upuuuz mwingi ,,,, ! Tunaonekana hatujitambui na hatuna majukumu mengi , ama ni ushamba wa mitandao ? Tuna safari ndefu sana ! Slogan ya lowassa (r.i.p) ilikuwa elimu, elimu elimu
Mie ni Simba lakini ukweli usemwe sio Yanga Bali Jiji la Dar Lina jobless wengi. Kazi hakuna jamani 😔
Mimi nakushauri uachane na maisha yao. Badala yake ungejikita zaidi kwenye kupambania maisha yako.Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
🚮🚮🚮🚮Unaongea kujireflect maisha yako,mimi mpambanaji sana,nilishasafiri sana,nikiwa na miaka 20 nilishapanda ndege kutafuta maisha nchi za watu
Hapo sawa,migebuka unauzaga reja reja au kwa jumla na huwa unauzia wapi kwa DarNashukia runzewe,nasubiria takbir la kutokea mwanza
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
DAh fungua bar uza bia asubuhi ndio utajua muda wa kazi ni upiKwani muda maalum wa kazi ni upi? Ni lazima wote tuanze kufanya kazi asubuhi na kumaliza jioni? Mbona mfumo huo tulishauzika kitambo. Masaa 24 yote ni ya kazi kulingana na taasisi uliyopo
Sio mashabiki wa yanga tu, ni mashabiki wote wa soka la bongo sijui aliwaroga naniNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Halafu wala hamuwalishi na kuwavishaHilo halina ubishi.
Wengi wao ni vijana wajinga na wazee wa ccm.
Gazeti la wakenya hilo,wakenya wasio wajinga kujilisha hawawezi mpaka wajinga wa tanzania walimeHili gazeti ni la lini? Ningekuwa mimi ni wwziri ningelifungia maisha hili gazeti
Hata bia inategemea zinauzwa wapi. Hakuna muda maalumu wa kunywa bia. Kuna maeneo wanakesha baada ya kazi hao ni halali wafunge asubuhi na kuna maeneo watu wanapumzika baada ya kazi au safari bia zinapigwa kama kawaida. Kwenye lounge/bar za hotel hakuna muda maalumu wa bia kuuzwa.DAh fungua bar uza bia asubuhi ndio utajua muda wa kazi ni upi