Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Kisa ni majibless basi hata mpira wasifatilie, msiwanyanyapae jobles nao wanapaswa kupumzika baada ya kulala muda mrefu.
 
Mkuu una hoja lakn uzi wako uko biased! Kwa kifupi tz kuna mazwazwa mengi ,,, ! Watu 24/7 ni mpira tu huko vijiweni kujadili,,,, utasikia sijui aziz k akafanyaje, mara mukwala tumepigwa, sijui fei anatoka na nani,,,, ili mradi mpira tu ! Mara penalties, sijui GSM kafanyeje,,,Mo kasusa n.k ! Hizi timu 2 za kariakoo hazikauki midomoni mwa watu ,,,, unakumbuka kipndi samatta anasajiliwa villa ? Kwenye page zao za mitandao tulikuwa tunatia aibu,,,, same applies to yule dada nimemsahau jina anacheza Brighton ya wanawake Epl, akipostiwa tu mizwazwa inaenda kujaza comment na upuuuz mwingi ,,,, ! Tunaonekana hatujitambui na hatuna majukumu mengi , ama ni ushamba wa mitandao ? Tuna safari ndefu sana ! Slogan ya lowassa (r.i.p) ilikuwa elimu, elimu elimu
Uko sahihi kabisa

Tunatia aibu sana
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Mimi nakushauri uachane na maisha yao. Badala yake ungejikita zaidi kwenye kupambania maisha yako.
 
Kwani muda maalum wa kazi ni upi? Ni lazima wote tuanze kufanya kazi asubuhi na kumaliza jioni? Mbona mfumo huo tulishauzika kitambo. Masaa 24 yote ni ya kazi kulingana na taasisi uliyopo
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
 
Kwani muda maalum wa kazi ni upi? Ni lazima wote tuanze kufanya kazi asubuhi na kumaliza jioni? Mbona mfumo huo tulishauzika kitambo. Masaa 24 yote ni ya kazi kulingana na taasisi uliyopo
DAh fungua bar uza bia asubuhi ndio utajua muda wa kazi ni upi
 
Duniani tunapita,tunafanyakazi Ili tupatee kula🤣🤣🤣🤣Tusipangiane maisha.
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Sio mashabiki wa yanga tu, ni mashabiki wote wa soka la bongo sijui aliwaroga nani
 
Maisha ya utafutaji ni magumu watu wanaenda hizo sehemu huenda wakapata chochote iwe msosi, connection au hata maneno ya faraja kwenye wengi Kuna mengi
 
Ata huko maofisini wamewasha tv wanaangalia na wengine wameenda Cairo kuona live,wewe kama una kazi shukuru,hacha wivu kila mtu anastasia yake ya kupata pesa,
 
DAh fungua bar uza bia asubuhi ndio utajua muda wa kazi ni upi
Hata bia inategemea zinauzwa wapi. Hakuna muda maalumu wa kunywa bia. Kuna maeneo wanakesha baada ya kazi hao ni halali wafunge asubuhi na kuna maeneo watu wanapumzika baada ya kazi au safari bia zinapigwa kama kawaida. Kwenye lounge/bar za hotel hakuna muda maalumu wa bia kuuzwa.
 
Back
Top Bottom