Kwa hiyo nyie madem wa Yanga manjikuta wazuri kama wale waliokuja kumalizia kusoma udaktari MUHAS toka Sudan?Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Unamaanisha wote hata yule wa Yanga Princess aliyelazimika kukaguliwa jinsia walipokwenda kucheza Cameron?Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Aseeeh hapa umepuyanga Fatma karume na BI Fatma karume ni watu wawili tofautiNgoja aendeleze sera za ugasho huko kwny timu pendwa
Tena tunakatika kichizi. Hujatuona kwenye ile ngoma ya Nandi yangaKwa hiyo nyie madem wa Yanga manjikuta wazuri kama wale waliokuja kumalizia kusoma udaktari MUHAS toka Sudan?
Huyu mwamba saaaasa 😂Uyo ni bonge la demu wa Yanga queens.View attachment 2667378
Hapana mkuu.....hii haihusiani na ccmKamati ya siasa ya Ccm in back ground.
Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.
Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Noma kweliKwa hiyo madem wa Yanga mnajiona ninyi ni zaidi ya madem wa Simna na wale madem Azam wenye damu za Oman?
Well said [emoji122]Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Wanamwita baby face au smiling face😂😅Huyu mwamba saaaasa 😂
Pole, huna ulijuwalo.Hapana mkuu.....hii haihusiani na ccm
Hapa mtani umeweka mapenzi na ushabiki pembeni.Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.
Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.
Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Lkn ukiwa na body yenye financial muscles kubwa.....ndipo unaweza kupata quality players wengi kutokana na kuwa na budget nonoWhen it comes to Soccer kinacho-matter ni kwenye Pitch hayo mengine sometimes yanaweza kuwa distraction..., Hao Jamaa kuleta Upuuzi wao wa kule na kuuleta Huku....
MafisadiTimu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi
Mheshimiwa bi Fatma karume
Mh. George mkuchika
Mh. Dr mwigulu nchemba
Mh. Anthony mavunde
Mh Abas Tarimba
Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]View attachment 2667364