Yanga inaenda kuwa moja ya Teams kubwa Afrika. Simba mlikosea sana kumdindishia Rais

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"

Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.

Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.

Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
 
Lini simba waliandika barau ya kuomba hizo pesa zenu za goli la mama?
 
Tangu kuanzishwa kwake simba ilikuwa ni kwenda against wakoloni weusi au huijui historia ya simba? Ndio kusema simba haitegemei hisani ya mkoloni mweusi.

Na tangu kuanzishwa kwake uto inabeba agenda ya mkoloni mweusi au huijui historia ya vyura? Ndio kusema utopolo haiwezi savaivu bila hisani ya mkoloni mweusi.
 
Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"

Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.

Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.

Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
mimi ni shabiki wa yanga ila kwenye upuuzi kama huu ulioandika napita mbali!
 
Wabongo na Watu weusi kwa ujumla sijui mtaendelea lini,
Mpira hauna Siasa, Itikadi, Rangi wala Uchawi🤣

Mpira ni Pesa(Investment) Uongozi mzuri (Management), Mbinu za Kocha pamoja na juhudi za Wachezaji
Yanga wamefanikiwa kuwekeza vizuri, Kuwa na Uongozi mzuri, Wachezaji wake wanaelewana sana na wana juhudi binafsi...tafauti na Simba yetu

Wallah
 
Mtoa mada acha kuihusisha Yanga na mambo ya kipuuzi. Yanga inashinda kwa sababu ya uwekezaji uliofanywa na GSM. Na siyo ccm au serikali.

Na kama ni timu kubebwa na serikali, mbona simba imepewa kocha wa timu ya Taifa Hemed Suleiman Moroco kuisimamia kwa muda!! Huu utaratibu uliwahi kuuona wapi?
 
Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"

Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.

Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.

Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
Inzi wa Kijani UNANUKA
 
Uchafu tu...kwani huyo mama na ccm yake ndio atacheza uwanjani club bingwa...pia ujue SIMBA ni timu ya watu wenye uwezo na hata mashabiki zake ni wasomi na matajiri,hatuitiki itikie salamu ovyo kama malofa na hatuna shida na hela zake,hizo ni jasho la wakulima akawatengenezea barabara waache kupita kwenye vumbi,sisi hatutaki pesa za wanyonge
 
Wabongo na Watu weusi kwa ujumla sijui mtaendelea lini,
Mpira hauna Siasa, Itikadi, Rangi wala Uchawi🤣

Mpira ni Pesa(Investment) Uongozi mzuri (Management), Mbinu za Kocha pamoja na juhudi za Wachezaji
Yanga wamefanikiwa kuwekeza vizuri, Kuwa na Uongozi mzuri, Wachezaji wake wanaelewana sana na wana juhudi binafsi...tafauti na Simba yetu

Wallah

Dogo hujui mpira kwa nchi za kiafrika na hasa Simba na Yanga kwa Chama na Serikali .huelewi kitu. Bado mdogo wewe
 
Mtoa mada acha kuihusisha Yanga na mambo ya kipuuzi. Yanga inashinda kwa sababu ya uwekezaji uliofanywa na GSM. Na siyo ccm au serikali.

Na kama ni timu kubebwa na serikali, mbona simba imepewa kocha wa timu ya Taifa Henwd Suleiman Moroco kuisimamia kwa muda!! Huu utaratibu uliwahi kuuona wapi?

Hujui kitu dogo. Yanga ni team ya Taifa. Na hao Simba kuazima kocha akae kwenye bench kwa mujibu wa kanuni za CAF si issue.kwan wameendelea naye? Dogo hujui kitu. Yanga si team ya kitoto. Nakujulisha kama hujui dogo.
 
Waambie hao machalii Yanga ni Team YA TAIFA.
 
Back
Top Bottom