min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wewe mtu mweupe ni wapi umeendelea?Wabongo na Watu weusi kwa ujumla sijui mtaendelea lini,
Mpira hauna Siasa, Itikadi, Rangi wala Uchawi🤣
Mpira ni Pesa(Investment) Uongozi mzuri (Management), Mbinu za Kocha pamoja na juhudi za Wachezaji
Yanga wamefanikiwa kuwekeza vizuri, Kuwa na Uongozi mzuri, Wachezaji wake wanaelewana sana na wana juhudi binafsi...tafauti na Simba yetu
Wallah