Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Lini simba waliandika barau ya kuomba hizo pesa zenu za goli la mama?Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"
Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.
Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.
Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
mimi ni shabiki wa yanga ila kwenye upuuzi kama huu ulioandika napita mbali!Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"
Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.
Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.
Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
Inzi wa Kijani UNANUKAHili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona"
Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na Siasa. Wakati pesa za magoli za wanasiasa mnachukua. Au mnapewa na Wapinzani hizo? Ujinga tu.
Yanga wana na watapata support yote kinchi na kiserikali na kichama. Mtaona wenyewe. Hamna namna mtaweza ishinda Yanga. Na safari hii kwenye Ligi hata 3 bora mnaweza kosekana kabisa. Labda muhame ligi. Mbwah nyie.
Yanga tutaendelea kuwaburuza kinyama. Na hiyo CAF pia hamtafika popote maana kila mipango yenu inajulikana ndani nje. Wekeni kumbukumbu huu uzi.
Wabongo na Watu weusi kwa ujumla sijui mtaendelea lini,
Mpira hauna Siasa, Itikadi, Rangi wala Uchawi🤣
Mpira ni Pesa(Investment) Uongozi mzuri (Management), Mbinu za Kocha pamoja na juhudi za Wachezaji
Yanga wamefanikiwa kuwekeza vizuri, Kuwa na Uongozi mzuri, Wachezaji wake wanaelewana sana na wana juhudi binafsi...tafauti na Simba yetu
Wallah
Mtoa mada acha kuihusisha Yanga na mambo ya kipuuzi. Yanga inashinda kwa sababu ya uwekezaji uliofanywa na GSM. Na siyo ccm au serikali.
Na kama ni timu kubebwa na serikali, mbona simba imepewa kocha wa timu ya Taifa Henwd Suleiman Moroco kuisimamia kwa muda!! Huu utaratibu uliwahi kuuona wapi?
Hujui kitu dogo. Yanga ni team ya Taifa. Na hao Simba kuazima kocha akae kwenye bench kwa mujibu wa kanuni za CAF si issue.kwan wameendelea naye? Dogo hujui kitu. Yanga si team ya kitoto. Nakujulisha kama hujui dogo.