Wewe mtu mweupe ni wapi umeendelea?Wabongo na Watu weusi kwa ujumla sijui mtaendelea lini,
Mpira hauna Siasa, Itikadi, Rangi wala Uchawi🤣
Mpira ni Pesa(Investment) Uongozi mzuri (Management), Mbinu za Kocha pamoja na juhudi za Wachezaji
Yanga wamefanikiwa kuwekeza vizuri, Kuwa na Uongozi mzuri, Wachezaji wake wanaelewana sana na wana juhudi binafsi...tafauti na Simba yetu
Wallah
Acheni story za vijiweni na uzushi wa kijinga nyie🤣🤣🤣Dogo hujui mpira kwa nchi za kiafrika na hasa Simba na Yanga kwa Chama na Serikali .huelewi kitu. Bado mdogo wewe
Kila mahaliWewe mtu mweupe ni wapi umeendelea?
Hawa ni wale vijana wa vijiweni wamezoea uzushi🤣Mtoa mada acha kuihusisha Yanga na mambo ya kipuuzi. Yanga inashinda kwa sababu ya uwekezaji uliofanywa na GSM. Na siyo ccm au serikali.
Na kama ni timu kubebwa na serikali, mbona simba imepewa kocha wa timu ya Taifa Hemed Suleiman Moroco kuisimamia kwa muda!! Huu utaratibu uliwahi kuuona wapi?