Yanga inaendeshwa kihuni

Nikusaidie GSM sasa ndio anaenda kuwa Mshindi rasmi wa biashara za kila siku wanaita FMCG , atatambulisha GSM soap , GSM beverages [ maji ,juice ,energy drink] jamaa anawatumia yanga kupitia wanachama
 
Ukitazama vizuri ndio nilichomaanisha hapo juu. Kumwaga mapesa hivyo hovyo ilikuwa ni entry point tu kuwawin mashabiki wa Yanga. Now anatransform hiyo trust kuwa bizness. Just simple like that
 
Haondoki ameshasinya tena kwa miaka miwili na leo Saa 8 mchana huu atawathibitishieni hilo Yeye Mwenyewe sawa?
 
Uhuni ni jadi yetu unataka tuuache tumwachie nani unayeona ataweza?

Na tutawakong'olo vizuri tu na uhuni wetu

Kombe kwa yanga tena
 
So what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…