Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utaongea watamkataa tuWaache waendelee na mlete mzungu, wanajipotezea Muda . Mzungu is simply incompetent
Mandonga anacheza na mikoa ya Tz tu mara Morogoro mara KMC[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh!...uchawi. HuuNaiona Yanga kwenye robo fainali ya CAF : naiona SSC ikitolewa Kwenye Preliminary stage round ya pili. Time will tell ,tuupe Muda wakati.
Yanga hajashinda chochote,ila ametoka kushinda kombe la shirikisho CAFTusila ni reject. Alivyocheza mara ya kwanza yanga alishinda nini?
Poa muda utajibu yoteHakuna Uchawi ni Critical Thinking uta prove very soon . Wengi ni Myopie hiyo ndiyo shida
Halafu ukirejea msimamo wa ligi na ukatazama magoli yaliyofungwa unagundua hii post ni takataka tupu.Niseme kweli SITOTAMANI kuangalia tena Mpira wa Simba na Yanga hiyo October.
Kwa Mapinduzi na Mageuzi anayoyafanya Yanga ambayo yapo kimkakati kimataifa zaidi, hali itakuwa ni mbaya kwa SSC na itakuwa ni aibu sana SSC atakapokutana na Yanga.
Imagine tu , Kuna Stefano Aziz , kuna Tusila Kisinda , kuna Mayele , Mama yangu ..... kuna yule mwendawazimu Efua Morrison ..... huku kuna huyu Mpemba Feisali..... tuacheni Utani SSC anatoka vipi hapo ? Kwa huyu Dejan ? Tshabalala ? Outara ? Yaani kwa mchezaji gani kwa mfano atakuwa na power ya kumzuia Efua, Tusila, Stefano au Mayele .. hii ni hatari sasa. Hawa wazee wa SSC watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana.... maana kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa koko.
Simba yeye ana Mzungu na siasa za matangazo bila matendo , hali ni mbaya MSIMBAZI , nasema tena hali ni tete MSIMBAZI .
Timu mpaka sasa bado inafanyiwa MABORESHO kwa mujibu wa Msemaji wa SSC; Ligi imeshaanza, na Champion ligi ina wiki chache kuanza ..... bado tupo kwa maboresho tena ..... Nasema hali ni tete Msimbazi..... Barba Out !
Kikosi cha UTOPOLO cha sasa ni cha Dhahabu na hakika kinakwenda KUSABABISHA. Naiona Yanga kwenye robo fainali ya CAF : naiona SSC ikitolewa Kwenye Preliminary stage round ya pili. Time will tell ,tuupe Muda wakati.
SSC bado inaamini kwenye myth , kwamba wao ni timu kubwa .... wanasahau kuwa mpira ni elasticity na Yanga amesha prove wrong kwa SSC more than 3 times kuwa SSC nyakati zimebadilika..... lakini SSC ina Act Kama MANDONGA.
Kwenye akili ya mandonga yeye anaamini anaweza kumpiga yoyote na kuwa alipigwa kwa kuotewa.... yaani ameiaminisha ujinga akili yake out of knowing the reason why ..... ndiyo inachofanya SSC.
Ni suala la Muda mchache sana ukweli utajulikana na ni muda mchache sana Barba Gonzalenz itamlazimu ajitafakari upya na utendaji wake pamoja na strategy zake.
Nina rudia tena, Barba ame focus zaidi Kwenye matangazo na siasa za Mpira kuliko investment na performance ya timu.
Time will tell very soon , Hali ya Msimbazi ni Mbaya sana hasa ukizingatia usajili uliofanywa ni kama vile Management haikujifunza kupitia last season. Ni dhahiri kuwa Yanga ilijifunza kitu na ina isuprize dunia very soon. Hongera Engenear. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia.
Poleni wanasimba. Yule mwendawazimu wa mbio ameingia mjini, kazi ipo !
Jamaa amesema ukweli mtupu! Kwa sasa simba ina act kama Mandonga! Inatumia nguvu kubwa kucheza mpira nje ya uwanja, kuliko uwanajani."lakini SSC ina Act kama MANDONGA"
WTF! I like it [emoji1787][emoji1787]
Kwakukaa benchi sio..weka rekodi sawaYanga hajashinda chochote,ila ametoka kushinda kombe la shirikisho CAF
Kolo yeyote mwenye akili kama Mimi siwezi kukupinga.. wewe Utopolo unaongea ukweli kabisa.. sisi Makolo hatuna Timu na Jana tumetoka kutobolewa huko.. Utopolo wataendelea kutufunga miaka yote kama kushinda au draw kwa Makolo itakuwa ni miujiza tu na kama mnavyojuaga Matokeo ya Mpira sometimes. Huko CAF zitarudi zile 5, 5 bila
Halafu ukirejea msimamo wa ligi na ukatazama magoli yaliyofungwa unagundua hii post ni takataka tupu.
Mnasajili.hadi dakika ya 89 bado unaleta fyokofyoko hapa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app