kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Na wachambuzi wao wa mchongo,waliwapamba sana mitandaoni ,mashabiki maandazi nao wakaikingizwa king, matokeo yake ni hayo sasa wanakimbiana wenyeweWalikuwa wanasema kikosi chao ni cha UEFA champions league leo hii wamekimbia uzi wote